@NgimbusiRoja @IamFesalSalum Kumbuka unapomuona mwenzio kama..... juwa kuna mamia ya watu wanakuona wewe kamaaaaaa..............ππππππ
Kwenye swala la kupandikiza mimba ningeiomba serikali iangalie uwezekano wa kupandikiza mbegu za hawa watu chama,inonga,sakho baleke na phiri kwa maslahi mapana ya nchi ya timu ya taifaππππ