"Mimi nina watoto kumi na katika kumi kuna Polisi mmoja Mahita Omary Mahita. Ukienda Arusha kama utapata nafasi nenda uliza Mahita yupo wapi, watakuambia Mahita Omary Mahita ni mkono wa chuma."
"Ulipata kuona walivyokuwa wanalumbana kwenye kesi ya kina Mbowe? Mwanangu ni mwanasheria."- Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Mstaafu wa Tanzania akizungumza na M&S Podcast.
🏆 Referee announced for 2026 #SuperCup!
We're pleased to share that Somali referee Omar Artan will officiate the highly anticipated match between PSG and Aston Villa in Salzburg.
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara.
Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 9, 2026.
“Unajua mara nyingine hizi clip zinakatwa kwa sababu ya maslahi ya Mtu kutengeneza hoja ambayo yeye anaiona inafaa lakini kilichopo ni kwamba, kwanza mimi nilikuwa nikijibu hoja ya Mheshimiwa Mwakilishi fulani alipouliza kwamba kuna Watu wamekwenda hospitali na wanarejeshwa kwa sababu hawajasajiliwa”
“Nilichomjibu mimi sisi Zanzibar kwa sababu kama unavyojua toka mapinduzi 1964 ilikuwa inatangaza matibabu bure na elimu bure ndio tunajua tulikuwa na hiyo theme ya matibabu bure na elimu bure kuna kitu tukichokitoa tulikuwa tunakiita Matibabu Kadi, hiyo Matibabu Kadi inasajiliwa kwa Sheha au Shehia husika kwamba wewe ni Mzanzibar upo intitle unaandika particular zako halafu yule Sheha anatoa hiyo matibabu kadi kwenda hospitali unatoa ile matibabu kadi yako lakini tuligundua Masheha wetu ambao hawako waaminifu kutokana na maelekezo waliyopewa”
“Sivyo hivyo ambavyo ilikuwa imetengenezwa kwamba anapokuja sio Mzanzibar kwamba hatumtibu, hakuna sasa hivi ile option bila ya kuwa Mwanachama wa ZHSF ukawa unachangia ukaja hapa halafu ukapata matibabu free bila kupata ile shearing ni hiyo ilikuwa hivyo”
Pia, Mkuya ameulizwa kama kuna takwimu za Watu kutoka Bara wanagharimu Zanzibar kwa kiasi gani au ni hisia tu ?
“Nataka niliweke vizuri, sikuwahi kutaja sehemu kwamba Watu kutoka Bara ndio wanakuja, tunachokitaka kwamba tuweze kuwa na sustainable financing ya kugharamia huduma za Afya, tuweze kulipa vipimo, tuweze kulipa dawa, tuweze kulipa wataalamu, tuweze kulipa mambo yote yanayohusiana masuala ya afya, sikuzungumza mahala popote kwamba kuna Watu kutoka Bara nimesema Wasio Wazanzibar”
Na alipoulizwa akiwalenga wakina nani, Mkuya alisema “Nimesema usajili wa ZHSF ni Wafanyakazi wote wa Sekta ya Umma, Wafanyakazi wa Sekta ya Binafsi, Indivual wenyewe ambao wana source of income kuweza kuchangia huo mfuko kwa ajili ya kupata matibabu, kwa maana hiyo yoyote anayekuwepo hapa weather anafanyakazi hoteli na vilevile wale ambao sio Watanzania au sio Wazanzibar ambao wapo Zanzibar kwa kipindi kinachozidi miezi sita wawe wanakuwa intouched lazima wawe wanachama,” amejibu Saada Mkuya.
#MillardAyoUPDATES
A truck carrying crates of beer was involved in an accident in Tanzania. Police warned residents not to carry any beer home but allowed those interested to consume it only at the accident scene!
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesisitiza kuwa haiwezi kubeba gharama za matibabu kwa watu ambao si wakazi wa Zanzibar, ikieleza kuwa huduma za matibabu bure zinakusudiwa kuwahudumia Wazanzibari pekee.
Kauli hiyo imetolewa leo Juni 9, 2026 na Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum, wakati akijibu hoja za wajumbe wa Baraza la Wawakilishi katika vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti za Serikali.
Saada alisema Serikali imebaini kuwepo kwa baadhi ya watu wasiokuwa Wazanzibari wanaonufaika na huduma za matibabu bure kupitia matumizi ya kadi za matibabu, jambo ambalo linaongeza mzigo kwa bajeti ya afya ya Zanzibar.
“Mtu ambaye si Mzanzibar anakwenda katika hospitali zetu anaonesha kadi ya matibabu. Bajeti yetu ya trilioni 8, je, itaweza kuwahudumia watu milioni 60 wa Tanzania? Tumeona wengine ambao si Wazanzibari wanatibiwa kwa kutumia kadi za matibabu,” alisema.
Alifafanua kuwa mpango wa usajili wa wanachama wa Zanzibar Health Fund (ZHF) unaendelea sambamba na utolewaji wa kadi za matibabu kwa wananchi wanaostahili kupata huduma hizo.
Kwa mujibu wa Waziri huyo, changamoto nyingine imekuwa ni ukosefu wa umakini kwa baadhi ya viongozi wa ngazi za chini, hususan baadhi ya Masheha, ambao wamekuwa wakitoa uthibitisho unaowezesha watu wasiostahili kupata huduma hizo.
“Kilichokuwa kikiainika kwa wenzetu wa hususan ngazi ya Masheha ni kutokuwa waaminifu. Mtu ambaye si Mzanzibar anafika hospitali akiwa na kadi ya matibabu, na wakati mwingine huonesha kitambulisho cha Mtanzania na kupata huduma,” alieleza.
Pamoja na hatua hizo za kudhibiti matumizi mabaya ya mfumo huo, Serikali ya Zanzibar imeendelea kusisitiza kuwa sera ya matibabu bure kwa wananchi wake itaendelea kutekelezwa. Huduma zinazotolewa bila malipo kwa Wazanzibari ni pamoja na dialysis, upasuaji, huduma za dharura, matibabu ya kulazwa pamoja na huduma nyingine muhimu za afya.
Serikali imeeleza kuwa lengo la hatua hizo ni kuhakikisha rasilimali zilizotengwa kwa sekta ya afya zinawanufaisha wananchi waliokusudiwa na kwamba mfumo wa utoaji wa huduma unabaki kuwa endelevu kwa muda mrefu.
Maoni yako ni yapi katika hili
"Naishauri wizara ya Maendeleo ya jamii chini ya Dorothy Gwajima itungwe Sheria,
Mwanamke akibeba ujauzito akamsingizia mwanaume akalea mpaka mtoto akazaliwa halafu badae ikabainika huyo mtoto Siyo wa mwanaume husika, basi huyo mwanamke Afungwe Jela Miaka Mitatu Ili kukomesha hiyo tabia, vinginevyo tuta endelea kushuhudia matukio ya Mauaji ya kikatili Kwa wanandoa na Wapenzi"
🗣️Baba Levo
Je hii inaweza kupunguza?