@IAMartin_@HecheJohn Same to Arusha kaka hatuna kabisa open space kwa mikutano ya jamii hamna kabisa , hata michezo kwa Watoto Hamna ๐๐๐Mwaka jana na mwaka huu Open space nyingi Arusha Zinaliwa Balaaa ๐
@ZeJOE3@MariaSTsehai Yamekukuta ๐๐๐mm sina ham mkuu nilienda kule kufanya biashara zangu weee hauwezi nunua Ardhi kule , mbinu ni kumpa mimba bint uandikishe mali jina la mtoto na mama yake ,๐