Baada ya video zangu za jana, nimeambiwa tatizo sio kwamba wanaharakati wanaona uvivu kuondoa comments za ku demoralize wananchi na mwishowe kuharabu harakati, nimeambiwa tatizo ni kwamba wanaharakati wengi wanataka engagement na followers.
Dah, basi tatizo ni kubwa kuliko nilivyodhani. Nilidhani labda ni uvivu tu ila ndo nimeleeweshwa kuwa wengi ni hawajali kama harakati zao zinaleta manufaa yoyote, wao wanataka engagement na followers regardless hata kama harakati zinaharibika na zinakuwa hazina mashiko kutokana na comments wanazoacha kwenye post zao.
Basi kazi ipo!!!!!
Sawa naunga mkono MARIDHIANO, Mwenyekiti wa hiyo kamati awe Humphrey Polepole, Katibu wake ni Mdude Nyagali, Deusdedith Soka na Mzee Ally Kibao wawe wajumbe maalum wa hiyo Kamati.
Ajenda namba moja ya maridhiano ni Vibaka waliopora uchaguzi na kuuwa maelfu ya Watoto wa Tanganyika kisha wakajiapiza na kuingia IKULU waondolewe na kuchukuliwa hatua za kisheria.
Vinginevyo wakaridhiane na Familia zao๐ฎ
SAMIA muachie Balozi POLEPOLE Muachie MDUDE muachie SOKA mwenyekiti wa vijana wa CHADEMA Temeke. Waachie vijana wetu wote uliowaficha FAMILIA zao zinawataka wakiwa HAI
Wakati @TunduALissu anachaguliwa kuwa Mwenyekiti(T) , alichaguliwa Makamu Mwenyekiti wa kufanana naye ie @HecheJohn .
Hilo pekee liliashiria usalama wa taasisi. TAL wakati wote umesisitiza kuendelea kujengwa kwa Chama hata kama yuko ndani.
Kwa namna yeyote ile hatutaruhusu mtu yeyote either kwa maslahi yake binafsi au kwa kutumika awe chanzo cha migogoro na kuvuruga utulivu wa chama, utendaji kazi wa chama na program za chama kwa sasa. Mtu huyo tumkatae kuanzia tawini kwake, jimboni, mkoani na Kanda yake.
"Mpaka jioni ya leo tarehe 02 Julai 2026 zoezi la postmortem ya mwili wa marehemu Suez Dani Maradufu, aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche halijaanza." Mhe. @amanigolugwa
watched South African police escort protesters without executing them for 2 days. Even when marchers started looting or vandalizing property, they responded with non-lethal force.
Can police in Kenya, Nigeria, Uganda, and Tanzania learn from their counterparts here?
Unamkamata mtu na kumficha kwa siku nne kinyume kabisa na taratibu za kisheria, ndugu zake wanakuja kituoni kuuliza mnakana kumshikilia baada ya siku nne ndiyo mnatoa taarifa ya kumshikilia mambo ya ajabu kabisa. @tanpol acheni hizo mambo zingatieni ueledi wa kazi zenu.
Kaulizwa swali dogo tu; โNI KIFUNGU GANI CHA SHERIA ULICHOTUMIA?โ. Anaishia KUPUYANGA TU na Kutokwa Povu.
Kinachoshangaza ni mwanasheria. Huyu ni aibu na fedheha kwa jamii ya wanasheria.
Leo jioni nikiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa chama Zanzibar, pamoja na wajumbe wa kamati kuu.
Tumefurahi kupata nafasi ya kutembelea na kumfanyia dua mama yetu Bi Shida Salum aliewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama chetu.
Pia tumefika nyumbani na kuonana na familia ya marehemu Ally Kisara aliekua Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kigoma.
Mimi binafsi mama Shida alinipenda sana , mwaka 2009 alikuja Tarime akiongozana na marehemu Philip Magadula Shelembi. Mwaka 2010 kwenye kamati kuu ya chama aliunga mkono mimi kupitishwa kuwa mgombea ubunge wa Chama Tarime licha ya umri wangu mdogo wakati huo.
Endelea kupumzika kwa amani mama yetu, endelea kupumzika kwa amani Mwenyekiti Kisara.
Kuna nchi zina MAWAZIRI WAKUU halafu kuna Tanzania yenye huu mtambo.
Kama hapa ana โPhDโ lakini kichwa kimejaa matope kiasi hiki, hali ilikuwaje kabla hajaenda shule?๐ค๐ค๐ค
Inakuwaje ofisi za juu za umma zinakaliwa na brainless brats kama huyu?