@zed_officially 1.Epuka kukaa seat za nyum, kaa siti mwsho line ya 4 kutokea mbele
2.Epuka seat za drshani, jitahid kukaa wissle seat ili uweze kutazama mbele lnapoelekea
3.Tumia vtu km bublish,ubuy au pip unapohisi hali hiyo, epuka kutumia kinywaj km juice au maji unapojihc vbaya
4.usitumie cm