@George_Ambangil Kaka unaongea uongo, hiyo madrid unayosema alikuwa nayo Benitez bila huyo Casamero, mwisho wa cku alifukuzwa ila Zizzo alipofika akamuongeza Casamero kwenye kikosi chake mpaka leo ni historia imebaki pale Madrid
@harrison_herry @George_Ambangil Kaka unaongea uongo, hiyo madrid unayosema alikuwa nayo Benitez bila huyo Casamero, mwisho wa cku alifukuzwa ila Zizzo alipofika akamuongeza Casamero kwenye kikosi chake mpaka leo ni historia imebaki pale Madrid
@PresenterNoah Penalty sina hakika ila idara zingine yuko vzur, anaruhusu magoli ambayo kipa mwingine angeweza kufungwa. Kama jana alifanya save ya 1on1 na SAKA ilikuwa moto sana. Kitu kingine anajaribu kupunguza mashambulizi kwa kuanza na mpira nyuma.