Dear Lord,
Today, thank You for leading me to another month. Im so grateful to have made it this far. Now, may You bless my MAY 1-31with strength, wisdom, opportunities, spiritual, mental and financial expansion. Take me beyond my highest expectation. In Jesus name. AmenππΎ
Leo Washikaji Zako Wanakusifu Vile Unakula Mademu Wengi..π π±, Next time Madaktari Na Manesi Watakusifu Vile Umeweza Kumaliza Kikombe Cha Uji Bila Kujihara Sanaπ₯π... Kuna Haja Niendelee ππ!!!!?.
Go out, tengeneza marafiki, jamaa na washirika wa kazi. Miongoni mwao utapata kitu cha kukufaa. Usijifungie. Toka, kutana na watu. Mtu unayekutana naye, usimwite βstrangerβ, muone kama βnetworkβ ya kazi. Ni dhambi kubwa kuishi bila network ya marafiki wenye manufaa. #HK#NjeYaBox
Wanaume tukubaliane kuwa pesa ndiyo nguvu ya kiume yenyewe. Tutafute pesa kwa nguvu sana maana bila hiyo hata hao wanaotupenda sana hawawezi kuwa na furaha na sisi. Kwenye njaa watoto wazuri huwa hawana maisha marefu napo
Mungu atusaidie sana wanaume wote
Moja kati ya kitu nimegundua humu watu wana shida kubwa ya mahusiano..hawapendi kabisa kuona watu wakiwa na furaha kwenye mahusiano yao..kila jambo wanataka walikuze iwe vita..sikieni pambaneni na hali zenu si tunafuraha na tuna uwezo wa kuimaintain furaha yetu
Ukiacha Kuogea Zabuni Za Champ Ambayo Moja Ni Sh 1500.. Let Say Kwa Wiki Unatumia Moja, Kwa Miaka 10 Inakua (1500Sh*54*10)=810K Sawa Na Mtaji Wa Kuzalisha Kiwanda Chako Kidogo Cha Sabuni Pale Sido.