@KEYDEVU Bora wazazi kaka kuliko ujichanganye kwa mzaramu utajuta kujuana naye
Kwangu Mimi naona Bora wazazi ukishindwa kopa hata bank kwa riba ili kuepusha dharau ndogo ndogo
Kwa wote wanaotamani kushiriki kumuaga Clara, ibada ya kuuaga itafanyika kesho saa 6 mchana katika Hospitali ya Bochi, Mbezi kwa Msuguri.
Baada ya hapo, mwili utasafirishwa kwenda Mbeya kwa mazishi.
R.I.P @slay__storeetz 💔🕊️🕯️.
Mzee alipata mshituko
Akapelekwa hospitali ya Rufaa mbeya. Huko hakupata msaada wa matibabu zaidi ya drip za maji.
Natumiwa ujumbe na bi mkubwa mzee ameondoka😰