Sex ni tendo ambalo mwanadamu mpaka leo anajaribu kujiuliza lengo lake ni nini.
Kwa watu wanaoamini Occult wanaamini kuwa Sex ni gate of eden.
Wanaamini kuwa Sex ni muunganiko wa mwanadamu yaani mwanamke na mwanaume.
Pia wanaamini Sex ni uumbaji kwani hupelekea uumbaji wa maisha mapya ya mtoto.
Occult wamefika mbali kwa kufundisha kuwa Orgasm ni tofauti na sex. Orgasm ni hisia inayopatikana katika sex.
WanaOccult wamegawanyika hapa.
Kuna wanaoamini Sex ndio msingi mkuu. Kuna wanaoamini Orgasm ndio msingi mkuu na sex sio lazima.
Kwani Orgasm wanaamini inaamsha energy ya kujitambua mwilini.
Lakini mimi baada ya kujifunza sana, nimekuja kukataa kabisa kuwa Sex ni muhimu katika kujitambua.
No Sex sio muhimu kwani wanadamu wengi waliokuja kujitambua waliwahi kujitenga na mahusiano na mwanamke kwa kipindi fulani au katika maisha yao yote.
Hii ni uthibitisho kuwa sex sio gate to soul bali kuachana na desires ndio gates to soul.
βMIMI NINA GROUP O, HAYO MAGONJWA SIUGUAGIβ
KWELI AU UONGO?
β Je, ukiwa na damu ya kundi O, magonjwa hayawezi kukugusa?
β Au ni porojo tu za mtaani?
Majibu yako Hapa π§΅π
Umewahi kufika kwenye point ya kununua Tv hujui nini ufanye
Tv nyingi zinazouzwa sasa zinajulikana kama smartTv
Bila kufahamu maana yake utaendelea Kuchanganya na kuuziwa badala ya kununua
Thread π§΅
Repost π
Bookmark π
Follow @techygaspar
Shuka nayo ππΎ
Walio muua Yesu walikutana na nini?
Hebu tufukunyue kidogo kwenye kitabu cha Biblia na hadithi zake za maisha ya watu mbalimbali.
Leo hii hebu tucheki kuhusu wale watu waliomuua Yesu nini kilitokea kwenye maisha yao?
Mtu wa kwanza kabisa kumcheki ni jamaa anayeitwa Pilato Pontius.
Huyu mwamba ndiye aliyetoa hukumu ya Yesu kuhukumiwa msalabani kwa kuwa alikuwa jaji wa mwisho wa kuamua ni kipi kilitakiwa kufanyika.
Huyu jamaa alikuwa kiongozi wa Yudea lakini pia alikuwa gavana kipindi hicho.
According na maandishi ya wasomi wengi huko Alexandria yanasema jamaa alikuwa kinara wa kuhukumu vifo kwa watu wengi pasipo kutaka kumsikiliza yeyote yule.