@SuluhuSamia Shikamoo mheshimiwa, Matumaini yangu kilio changu kitakufikia. Kiukweli taasisi kubwa ya moyo kama JKCI Ina HOLTER ECG NNE tu na AMBULATORY NNE. Sisi wagonjwa tunapata tabu tukiandikiwa vipimo inabidi tusubir siku mbili ndo tufungwe vipimo. Tunateseka mno
Pia Mazoezi yatakayokusaidia Kuimarisha misuli ya pelvic area na Kuongeza msukumo wa damu kwenye eneo la Uume,
Endapo unatamani Kujifunza Zaidi Kuhusu Afya ya Uzazi na Maswali yahusuyo Afya Kwa Ujumla,
Jiunge Katika Channel Hii sasa Hivi ili Kujifunza na Kupata Maarifa Zaidi Kuhusu Afya yako ya Uzazi.
๐ https://t.co/fQ1P6UK6v1
#BREAKING: Aliyewahi Kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Camilius Membe amefariki dunia leo asubuhi Katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni Jijini Dar es salaam.
Aliyekuwa Msaidizi wa Membe, Allan Kiluvya ameithibitishia @ayotv_ kuhusu kifo cha Membe ambapo amesema taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa Hospitali Alfajiri ya leo na baadaye akafariki.
Taarifa zaidi kukujia.
#MillardAyoBREAKING
#RIPMembe๐