@Mkali26Og@iamthatfemale Kwani pale walikuwa wanachukua wasanii waliofikisha miaka 30 vkwenye game au ilikuwa ni anniversary ya bongofleva? Ilitakiwa iinclude vizazi vyote
@NJENJE_255 Nipo huku Chunya vijiji vya huku Kambikatoto. Aisee umeme shida barabara mbovu usafiri changamoto. Ukisafiri kupita vijiji viwili vitatu kurudi siku hiyo hiyo ni bahati ๐