Kuna umri ukifika watu wanakuwa wanajua mengi yanayokuhusu lakini hawawezi kukuambia. Inaweza ikawa ni kukuheshimu, kukuogopa, kuamini unajua unachokifanya lakini saa nyingine ni ile tabia ya kusubiria waje waseme, โhili tulilijua mapema.โ
Unazingua, kwa mfano, hawakuambii. Wanaambiana. Unawakera hawakuambii. Wanaambiana. Unaharibu hawakuambii. Wanaambiana. Unafanya vizuri wanaogopa kukuvimbisha kichwa. Hawakuambii. Wanaambiana. Ukiwa na uwezo wanasita kukusifia. Wanaambiana wenyewe kwa wenyewe.
Ukichunguza kile watu wanachoambiana, ukifuatilia โmaneno manenoโ yanayokuhusu lakini usiyoambiwa moja kwa moja, utajua kwa nini mambo yanakuendelea hivyo yanavyokuendea. Kuna ukweli mwingi unaokuhusu na watu wanashindwa kukufikishia. Kuna hisia nyingi hazikufikii lakini zipo na watu wamezitunza wanasubiri ujichanganye kidogo waje waseme โtulijua.โ
Usiwafanye watu wakawa na mengi wanayoyajua na hawawezi kukuambia ukiwepo. Kadhalika, ingawa tunapenda kuonekana wakamilifu, usikwepe sana kujua upande wako wa pili ambao ndio hasa wasifu wako unaotumiwa na watu kufanya maamuzi mengi yanayokuhusu. Unachokwepa kukijua huenda ndicho kinachoamua umbali utakaokwenda.
Ee Mungu,nipe nguvu,maarifa na uvumilivu wa kufanya kazi kwa bidii na kwa uaminifu.
Nibariki kazi ya mikono yangu.
Fungua milango ya fursa njema,riziki halali na mafanikio ya kweli.
Ondoa uzito,hasara na taabu katika juhudi zangu,riziki yangu iwe baraka kwangu na kwa wengine๐๐ผ
1). Kama kila Ukipanga kwenda Msikitini/Kanisani...Huendi.
2). Kama kila Ukipanga Kuamka Asubuhi...Huamki.
3). Kama kila Ukipanga kwenda Kumtembelea Mshika...Huendi.
4). Kama kila Ukipanga Kufanya Kitu Chochote kile...Hufanyi.
๐
Vyakula/Matunda Yanayoongeza Kwa Wingi Homoni ya Testosterone na Kuimarisha Kinga ya Mwili.
Uzi ๐งต,
Like & Repost ๐ Kwa Ajili ya Wengine!
1. PARACHICHI.
@GIVENALITY Kaka ukwel lazma usemwe. Simba team yetu tia maji tia maji saana jamaa wametolewa ila unaona kabsa walivyopambania team yao. Sisi sasa yaan utafikiri wachezaji hawalipwi wale ๐๐พ