#OnThisDay in 2โฃ0โฃ1โฃ9โฃ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly ๐น๐ฟ
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends โค๏ธ๐ค
Martin maranja masese @IAMartin_ ni mtetezi wa haki za binadamu na mchambuzi wa siasa mwenye ushawishi mkubwa katika mijadala ya kijamii hasa kupitia mitandao ya kijamii
Alianza maisha yake ya kazi kama mwalimu kisha akaamua kuacha ajira ya serikali na kujikita katika shughuli huru za kijamii na kitaaluma akilenga zaidi kuelimisha jamii kuhusu haki za binadamu, uwajibikaji na utawala bora
Umaarufu wake umejengwa juu ya uwezo wake wa kipekee wa:
1:kuchambua masuala ya kisiasa kwa kina na kwa mantiki
2:kuunganisha sheria, historia na uhalisia wa kijamii katika hoja zake
3:kuelimisha vijana kuhusu haki zao na wajibu wao katika jamii
4:kuhimiza uwajibikaji wa viongozi kwa wananchi
Kupitia mitandao ya kijamii hasa X/Twitter amekuwa chanzo cha mijadala yenye manufaa kwa jamii akisaidia kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu demokrasia, haki za binadamu na masuala ya utawala
Katika safari yake amekutana na changamoto mbalimbali ikiwemo shinikizo la kijamii na kuitwa na vyombo vya dola kutokana na msimamo wake wa wazi lakini hali hiyo haijamzuia kuendelea kusimamia anachoamini
Mpaka sasa anaendelea kutambulika kama mmoja wa sauti muhimu zinazochangia uelewa wa haki za binadamu, uwajibikaji wa viongozi na maendeleo ya fikra za kisiasa miongoni mwa vijana Tanzania
Ukiachana na huo utani wa โMillennialsโ na โGen Zโ, kuna eneo moja nakubaliana na Gen Z 100%. Ni ukweli kwamba Millennials tumelifikisha Taifa letu matopeni. Hatuwezi kuiwajibisha Serikali hata inapokosea.
Millennials ndiyo uti wa mgongo wa utumishi wa umma kwa sasa; sisi ndiyo injini ya nchi. Lakini injini hii ikikubali kufanya kazi kwenye matope bila kuhoji kwanini barabara haitengenezwi, nchi inabaki palepale.
Kizazi chetu kwa sehemu kubwa ndiyo watumishi wa umma, hata tusipoongezwa mshahara na marupurupu kwa miaka 10, tunaona ni sawa tu. Tunaona ni kawaida na ndiyo kitu ambacho kama watumishi, tunastahili.
Kizazi cha wasomi wengi kimegeuka kuwa kizazi cha โndiyo mzee.โ Millennials wamekuwa watulizaji (stabilizers) wa mfumo hata kama ni mbovu. Gen Z ni wavurugaji (disruptors) wa mfumo ili ukae sawa.
Hofu ya kupoteza mshahara inayoweza kusababisha watoto wakose ada/familia ikose chakula imewafanya Millennials kuwa waoga (risk-averse). Hii imetengeneza kizazi kinachopendelea diplomasia ya unyenyekevu.
Kwa sababu ya familia, tumekuwa kizazi cha viumbe wabinafsi sana. Hatujui kudai haki zetu, na tumezalisha machawa na wapambe wengi. Kizazi chetu kimeasisi mfumo wa kusifu na kuabudu (sycophancy).
Tazama, hata machawa wakubwa na wazito (pro-max) wanaosifu na kuabudu Serikali hii ni kizazi cha Millennials. Wasanii wakubwa wa muziki wa kizazi kipya ambao ni wafuasi wa watawala ni Millennials.
Gen Z wengi bado hawajazama kwenye majukumu mazito ya kifamilia, hivyo wana ujasiri wa kupaza sauti bila kuwaza โkesho nitalishaje watoto.โ Hawalazimiki kuwa machawa ili waweze kuendesha maisha yao.
Gen Z wanakuja na utamaduni tofauti: wako โconnectedโ na wanatumia teknolojia ipasavyo. Wanaona wenzao duniani wanavyowajibisha serikali zao, hawaamini katika uvumilivu wa miaka 10 bila ongezeko la maslahi.
Hawahitaji mikutano ya siri; wanatumia simu kuanzisha mijadala, kuumbua ubadhirifu, na kuungana kwa kasi ya ajabu. Hii imepunguza nguvu ya machawa ambao walizoea kutawala simulizi za mtandaoni. Safi sana.
Wakati Millennials walifundishwa kuwa na shukrani hata kwa kidogo (ile dhana ya bora mkono uende kinywani), Gen Z wanauliza: โKwanini iwe kidogo wakati rasilimali zipo?โ Hapa ndipo sasa nawakubali madogo hawa.
Hawa Gen Z wana uwezo wa kuungana kama kizazi bila kujali itikadi za vyama, kitu ambacho Millennials wengi wameshindwa kwa sababu ya kuweka mbele maslahi ya ajira zao. Wamekataa mambo ya โStatus Quo.โ
Gen Z wamevunja mwiko. Millennials wamefungwa na nidhamu ya uoga au hofu ya kupoteza walichonacho, sasa wanatazamana na kizazi kinachoongozwa na kanuni moja kuu: โHaki haiombwi, haki inadaiwa.โ
Labda shinikizo hili la Gen Z litatumika kama kioo cha kuwafanya Millennials wajione walivyojipoteza. Binafsi, wananikosha sana. Gen Z wanaupiga mwingi. Mimi nawatia moyo, wasiogope. Kaka zao tupo pamoja nao.
Gen Z, take a bow, fellas.
๐จ Florentino Pรฉrez: โThere is no rush to renew Vinicius contract, we have all season to talkโ.
โYou think Iโm in charge of everything, but thatโs the sporting directorโs jobโ.
โHe is one of the best players of Real Madrid. Vini WON us the last Champions Leagueโ.
Masela kwenye ujinga huwa tunapeana sapoti kubwa sana๐๐.
Nakumbuka kuna mwanetu mmoja enzi tupo chuo alimtongoza manzi karbu miezi 6 anabembeleza tu,.
Kipindi cha likizo ile ndefu ya mwezi wa 8 hadi wa 10, . manzi akamkubalia mwana, na mwana kwao Iringa then manzi kwao ni mwanza,.. Wasiwasi wa mchizi ni kusubiri hadi chuo kifunguliwe anaweza akatemwa tena,.. bhasi akatuomba tumchangie nauli aende mwanza, kwenye ujinga tena, chap tu tukamchangia mwanetu, kwenye uwanja wa ugenini akatuwakilishe vyema๐๐ฅ, sharti lilikuwa picha tu akiwa na mchumba๐.