@Tweener003 na kwann nipige simu nimpigie nani? nimpigie ili iweje kama umeliona peke yako chimbo mungu akuhitaji mwingine aone ndo maaan ukaliona ww chukua chako sepa kama mwingine atajua ajue kimpango wake na mungu wake
#TajiriLaKihaya
Sasa mnaenda kufaham kwa nini ENGLAND inaitwa timu ya MEDIA!
Yaani kabla ya nusu fainali….
ARGENTINA tunaanza kumdhoofisha mitandaoni…
Atapewa kila Kashfa…. Wachezaji na mashabiki zao wataharibiwa kiSAIKOLOJIA!
MaRefa na FIFA watapewa Pressure ambayo haijawahi kuonekana dunia hii😂😅🙌🏾🙌🏽🙌🏽🙌🏽