@Hon_KibayasiF Shida siyo wadada tu wakazi shida pia ipo Kwa wake zetu ni wepesi sana kuwaeleza hasa ndugu na marafiki wa karibu kuhusu hitaji la wadada wa kazi pasipp kujua kuwa hao ndio maadui wa kwanza mana chochote cha familia kinawafikia direct.hapo shida uanza
@0101DUBU Ngoja tukushauri hivi Fanya uachane na huyo msela alafu to the minute mmeshaachana hao unaoona wanakula maisha ndy watachukua nafasi yako alafu utakua umejifunza tayar
@TMnyama4_ We endelea kubonda tu ila nikukumbushe tu kijana mwenzangu HIV na magonjwa magumu ambayo upo nayasikia tu kama story yapo sana so be careful ila wabonde tu mpaka kiwake moto
@TMnyama4_ Binafsi nlishamwambia Mke wangu siku akisema anataka kua mama wa nyumban afungashe arudi kwao kabisa.. mana nimeona tujenge familia maswala ya kesho sipo mnakuwa omba omba hapana