@aekody@RevocatusMagum1 Sasa nchi hii swala la feki si kitu ambacho kimeonekana cha kawaida tu sio kwenye jezi peke ake..inahitaji nguvu kubwa sana kutokomeza ishu ya vitu au bidhaa feki nchini
@ArseneFanuel@MkulimaKante ๐๐Yona yawezekana aliomba ushauri kwa wadau wake wadau wakamwambia "Mzee kwani maamuzi si yakwako kwenda au kutokwenda we mkache tu toroka zako"