@ayubu_madenge Kuna Bado watu wanadharu maombi aisee kwenye maisha haya ya kuunga unga usipokutana na mtu mmoja tu wa kukuongoza na kukupa mchongo huwezi kutoboa au utaangaika saana
@EsirEid Umeliweka sawa kabisa Veta ni Kwa wale wenye ufaulu mdogo ila sahivi necta imefungua goli hata yule kilaza anafaulu mtihani wa form 4 na kuendelea na elimu ya juu sasa kinachotokea ni kuwapitisha Tena Veta mahali walipotakiwa kuwa
@chapo255 Hapo nakukatalia wasamani walikuwa na vipaji halisi. Siku hizi hata dancer anaweza kuwa msanii na akaimba ujinga wake kama chino. Niambie miaka kumi iliyopita wimbo uliochorwa kama starehe ya ferooz. Au hip hop kali kama mtazamo ya afande
OMBEA watoto wako. Ombea watu wako wa karibu. Wataje kwa majina. Ukiweza omba pamoja nao. They need it. Omba afya. Omba ulinzi. Omba hekima. Omba ujazo wa Roho Mtakatifu. Omba upendeleo wa Mungu. Omba wokovu na uhai. Katika Jina la Yesu.