VIDEO:
Akizungumza katika Jukwaa la Demokrasia Tanzania kuhusu Gen-Z na Hatma ya Demokrasia Nchini leo Julai 9, 2026 lililofanyika visiwani Zanzibar, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza ameonya kuwa kizazi cha sasa (Gen-Z) hakiwezi kunyamazishwa kwa matumizi ya nguvu, risasi, mabomu, vitisho au propaganda, akisisitiza kuwa mbinu hizo huchochea zaidi uasi kuliko usikivu na udadisi.
Askofu Bagonza ametoa wito wa vijana kujibiwa kwa hoja, takwimu na ukweli wa yanayoendelea badala ya matumizi ya nguvu.
Uanaharakati wa mawakili umejikita sana kuwasaidia watu wasio na uwezo ambao wanakandamizwa na sheria na sera. Uanaharakati unasaidia kufikia social justice ambayo ni moja ya malengo yaliyoanishwa na katiba.
Kufikia social justice majaji wetu wawe na dhana ya judicial activisim
DAR: Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha #CHAUMMA, Sigrada Mligo ameeleza maoni yake hayo kupitia mahojiano maalum yaliyochapishwa na NijuzeNews, Julai 5, 2026.
Nini maoni yako?
Zaidi tembelea https://t.co/YSjtD947lD
#JamiiForums#Uwajibikaji#Utawala#Siasa
Hey @mosseri you have again restricted my account in Tanzania without any notice - at the request of the Tanzanian government ahead of a mega protest that may result in another massacre
@larrymadowo reported about this on @cnn
As you are aware there is a bill in the senate that is looking at sanctions against this regime and anyone that collaborates with it. The bipartisan bill cosponsored by @sentedcruz and @senatorshaheen is now awaiting a plenary vote! Meta can be included as coaborator based on such action!
@OversightBoard this is exactly what the management did in October and helped the government to cover the massacre
This restriction CONTRAVENES your own policies!
Kindly restore my account’s access
Thank you!
Leo #MariaSpaces tunajadili Maandamano 7/7
Zikiwa zimebaki masaa kadhaa leo tutajadili 7/7 - madai yetu, maandalizi na jumbe za kupeana moyo
Ni usiku wa mjadala muhimu usikose leo saa 2 uck !
Huu sasa ndio uchochezi unaofanywa na dola. Hofu kuu imewatawala. Kila njia inatumika kutisha watu wasitekeleze haki yao ya kikatiba ya kuandamana.
Jana Yanga waliandamani. Leo Simba wakaandamana.
Wapeni waandamanaji ulinzi kama mliotoa kwa wanamichezo baadala ya kuuza hofu.
‼️🚨ALERT‼️
Kuna taarifa muhimu kutoka mzalendo ndani ya mfumo 👇🏾
Kuanzia saa 12 jioni kesho hawa mafedhuli WAOGA watatia maagizo kwa makampuni ya mafuta wasiuze mafuta
So kuanzia sasa kila mtu ahakikishe ana mafuta ya kutosha kwenye chombo chake!
Ila badala ya kuendelea na maisha kama kawaida mnaonekana mmePANIC sanaaaaa! 👊🏽
Ila #TutaelewanaTu
#77Tunatoka #SamiaMustGo #FreeTunduLissu #JusticeForMO29
Makam Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn pamoja na Viongozi mbali mbali wa Chama wakiwasili kwenye ibada ya mazishi ya Mzee Suez Dani Maradufu huko Tarime.
Rest In Peace Suez Dani Maradufu.🙏
Hii press ya GWAJI BOY ilifungua ndonga za watanzania wengi sana.
DIKTETA JIKE linaisoma namba huko.
Jitu linasema lilichaguliwa kwa asilimia 90 linaapishiwa MBUGANI.
Kila siku watu wanaongelea maandamano.
Miji mikubwa MAGARI YA MAASKARI, WANAJESHI na mabuduki wanazurura zaidi ya mwezi mzima.
Na huu sio mwanzo SAMIA huu ndio utakuwa UTARATIBU wetu kama taifa wewe si CHURA KIZIWI?
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
VIDEO:
Kada wa CHADEMA @ChademaTZ2 , Mchungaji Peter Msigwa @MsigwaPeter amesema baadhi ya wanachama wa CCM wanajiona kuwa ni sehemu ya dola, huku serikali ikijiona kama mmiliki wa dola.
Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Msigwa amefafanua kuwa, kikatiba, Serikali si mmiliki wa dola bali hupewa dhamana ya kuisimamia kwa kipindi maalumu, kwa kawaida cha miaka mitano. Amesema ndiyo maana serikali inaweza kuondoka madarakani, lakini dola huendelea kuwepo.
"Dola huwa haiondoki. Chama chochote kikija kitatumia polisi hawa hawa, TRA, Jeshi hili hili ila kinaunda Serikali ambayo itaisimamia Dola kwa muda". Amesema Mchungaji Msigwa
Aidha, akizungumzia utendaji wa taasisi za umma, amesema taasisi hizo zimeanzishwa kwa mujibu wa sheria ili kuwahudumia wananchi wote bila upendeleo wa kisiasa. Kwa mtazamo wake, viongozi wa vyama vya siasa kutoa maelekezo kwa viongozi wa taasisi hizo ni kinyume cha misingi ya utawala wa sheria na uhuru wa taasisi za umma.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameiomba Mahakama ya Rufani kuamuru Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amlipe fidia kwa kuchelewesha shauri lake katika kesi ya uhaini.
Jana Putin alikuwa na kazi ngumu sana ya ku-babysit kimama 😁
Alishtuka kuwa kimama bado amevaa mic na ilikuwa on! Akakimbilia kumvua, mwenzake anataka kumshika kiuno 😁
Yaani Putin hatakaa asahau 🤣
#SamiaMustGo
Hii Video ni ya Oktoba 29,
Hapa ni Morocco hotel pale Magomeni kama mnavoona Watanganyika walikuwa wameandamana hawajashika silaha yoyote sio jiwe wala sindano lakini Polisi waliamua kuwatawanya kwa kutumia risasi za moto kuna wengi walipoteza maisha.
Lakin leo Waziri Kombo anasema kwamba siku ya Oktoba 29, Watanganyika walioandamana walikuwa wanawarushia mawe Polisi.
Nadhan sasa ni muda muafaka Nduli Idd Amin Mama na hao vilaza wenzake akina Kombo watuletee hiyo video ya Watanganyika wakiwarushua mawe Polisi.
OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA IDHIBITIWE KABLA HAIJASABABISHA MAAFA KWA MARA YA PILI.
Tumeshauri sana na tunaendelea kushauri.Ofisi ya Msajili wa Vyama ndiyo chemichemi ya vurugu za kidemokrasia ndani ya Vyama vya Upinzani na inamchango mkubwa katika vurugu za Oktoba 29.
Kimsingi Tume ya Uchaguzi na Ofisi hii ya Msajili wa vyama kwa matendo au kutowajibika kwao zimesababisha asilimia zaidi ya 60 kupelekea Mauwaji ya Oktoba 29/2025.
Baadhi ya Maofisa wake kwa makusudi,kujipendekeza au kutumika wana mchango mkubwa sana katika kuharibu Haki, Amani ,umoja,utulivu wa kidemokrasia ndani ya vyama vya siasa na ustahimilivu wa Kidemokrasia
Ofisi hii Inafanya na Kutenda kwa kuzingita Uonevu,ubaguzi,hila na Inaongoza kwa matumizi mabaya ya Mamlaka.
Tunaweza tukalaumu vyombo vingine vya kusimamia sheria kama Polisi,Jeshi,Mahakama na vyombo vingine vya Ulinzi ila tusisahu kuwa kinu kinachofua na kuandaa hila, fitina na machafuko ni Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa ambayo imeacha kazi ya kusajili vyama na imejigeuza Ofisi ya kuvutuga utulivu ndani ya vyama na kuminya uhuru wa kidemokrasia na ushiriki mpana wa vyama vya siasa.
Tusipo ziba Ufa tutajenga Ukuta,Mwanzo wa ngoma ni lele , na Asiye sikia la Mkuu huvunjika guu.Hala hala kidole na Jicho.
BAK Mwabukusi.