@BensonMukombozi@EsirEid nina kaa chumba cha 60k michongo imekwama deni la nyuma 120k miez miwili iliyopita mwenye nyumba kakomaa anataka hela ya miezi 6 saiz 480k hatak tena usumbufu wa miez miwili miwili
@BensonMukombozi@EsirEid bora nyinyi mimi niko natafta 600k ya kodi mpka kichwa inawaka moto ...ila maisha lazima yawe na magap kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake Tajiri kula maisha
@tanpol ila kwa maoni yangu ni km boda alizengua sema kulingana na harakat za shughul za mwenge makamanda nao ni km walipanic na inaweza kutokea kwa binadam yoyote akapanic kulingana na mazingir kwa hofu ya kuulizwa badae ilikuaje huyu akaingilia msafara so far poti kakosea na boda pia
@jossemwanri@MkulimaKante Yona lakin alikua na sababu yake binafsi alisema mimi nina kigugumizi nitawezaje kuhubiria watu ...mwisho wa siku akasema oya me huko siend bana
@Alinkyeni@ArseneFanuel@MkulimaKante wahuni waliambiwa na rutu oya watemen hao km mataka kula mzigo niwapeni ma bint zang bado ma BK kabsa wahuni wakasema amna si tunataka kisamvu cha wageni...Sir God akawatia upofu ni km aliona hawa mbwa sasa mazoea yamezidi
@chapo255 kuna siku nimetoka na manzi angu nikaenda sehem yeye hatumii vyombo nikala safari zangu kadhaa ile naondoka nikakutana na mwanangu nikamwambia muhudum mpe serengeti mbili jamaa oya huo ugomvi ulidum wiki nzima
@Luvandalugano47 mwanamke anabeba XX so mara zte anatoa X mwanaume anabeba XY so anaweza kutoa X au Y. na X+X= Me, X+Y=Ke sifa ya Mbeg X ni iko shap ina swim faster kulko Y so ukichakata sn mbegu X unazimaliza unabakiza Y na ndipo unaenda kupata mtoto Ke.