@AurelioMVPonly@Iamfelixtz Unahisi kuna mamlaka zinaamini ushirikina? Hata serikali ukiimbia nimelogwa watakwambia ushahidi upo wapi!
Hawa jamaa wanawadekeza wanaona bila wao kama league ya Tanzania hamna vile
@Mchenjuaji@Iamfelixtz Pesa wanagawana na tuzo hawatoi sijui wanapeleka wapi just imagine 100million daaah si unaandaa tuzo zote kabisaaa iyo ni moja
Bado za nyuma karibia 1b kabisaaa
@cletucchi_08@Iamfelixtz Daaah kumbe ndo maana me nikajua
@Tanfootball wenye mpira wao Tanzania wanatunga
Kumbe ni club ila naamini kila kitu kinawezekana
Hao mamlaka wanadharaulika sana na hawa kurwa na doto
@Kangaboy_@kirigitim@kirigitim nilikwambia yanataga ukanambia sio malori wala sio ya mkopo haya..
Njoo uku useme chochote
Maana kote kote hapatamaniki
Mkeka wa leo π kapigwa gape la dakika 50