@GodwinGeofrey5@Iamfelixtz Kwann wasijikite kwenye kutatua tatizo haswa linalo Fanya vilabu kutumia milango isio sahihi na kutotumia vyumba vya kubadilishia nguo!!?
@BenjaminZe0kp4@Iamfelixtz Kwann hao TFF na bodi ya ligi hawataki kujua na kutatua kweli sababu zinazo Fanya vilabu kutotumia vyumba vya kubadilishia nguo!???
@BracuszCadabra Bila kimtaja CR7 hamwendi mjini, mnashindwa kuongea mapungufu ya timu nzima ambayo Leo ndo yamewa cost, kuanzia upangaji wa kikosi Hadi kocha mwenyewe