@doktamathew na we utakufa kwa kupanda gari bodaboda au gari, yani mtu asipige ugimbi kisa kufa, acha kutisha watu hata tetemeko litakukuta ukiwa ndani umelala
@charmboy252@Ayodimejitz elfu 30 wawil elfu 40 watatu ila bei za jioni , usiwahi sana.... ila si ajabu ukamkuta hata yule unayetamani kumla hapa x na dm zako hajibu.