Nasikia @FIFAcom wana mpango wa kufanya maboresho ya sheria na taratibu za mpira, moja ya hizo ni;
1. Offside itakuwa endapo mwili wote wa aliyezidi upo mbele ya mpinzani, endapo amezidi mkono tuu, mguu tuu, kichwa tuu au sehemu tuu ya mwili hio haitakuwa offside.
2. Wakati wa kupiga penalty ndani ya muda wa 90 minutes kutakuwa na one chance tuu, kama kipa akicheza/akaitema mpigaji hata ruhusiwa kumalizia. Pia wachezaji wengine watakaa mbali yani katikati ya uwanja.
3. Enda
Nawatakia @SimbaSCTanzania kila la kheri katika mchezo wao wa leo wa fainali ya kombe la shirikisho la Africa. Sala zetu, dua zetu kama Taifa Zipo nanyi.