Paul Makonda is a known human right violator why is @didierdrogba hobknobbing with him? Was he paid blood money to comenand clean uo Makonda and the murderous regime’s image?
#TanzaniaMassacre
Natamani ifike siku na wewe upate haki yako, yaan tutoke kwenye hii sintofahamu🤲🏻 Mungu nisikie na mie kilio changu. Na amini wewe pekee ndio mtenda Haki. Simama na sisi kwenye hili. Ni zito sana kwetu🙏🏼💔
I've read so many smears and death threats flooding dm on insta and X since Friday, don't care we'll die anyway, don't we? so won't be silenced. When thousands of our fellow youth are slaughtered and their deaths whitewashed in a stupid Chande report, staying quiet is betrayal.
Ukipata Muda mwingine na Mr Mkumbo: Swali: Ni Kwa namna gani: Dira Inaweza vip kustahimili kumezwa na Dira za Mataifa ya G20? Wakati Maono ya Dira yanaendelea kumezwa na Ripoti za CAG ktk upotevu na Usimamizi mbovu wa PesA za umma?
#BEHIND2025
Time is the Truly Currency on Earth's can't be Replaced.
Sun is the Truly reflection of Almight God on Earth.
Ibada ya Mwenye Haki Mbele ya Mungu Mwenyezi hujibiwa Kwa Sauti Kuu.
Pambania Ndoto zako, Hakuna Anaye Jali shida zako.
My song:
Amka! Amka!
Kijana wakati ni Sasa, Ewe uliyekataa kuwa mtumwa,
Jipambanie, Kwa Jasho na Damu kupata Uhuru kamili na Kuulinda!
Amka amka amka!
Mipaka ya Kweli ni Anga, Ukuu wa Mungu Duniani ni JUA
Kijana Linda & Jenga kesho Bora Kwa Juhudi timilifu zisizo na Mawaa
- Serikali Ilinde Kwa wivu Mkubwa kazi za Ndani zinazoweza kufanywa na Wazawa - i.e Mgeni Mwekezaji anafanya Biashara ya Jumla badala ya Kuwekeza kiwanda?
# Serikali Itenganishwe na Muundo wa Siasa na Taaluma kiutendaji, kamwe Isiwe km ilivyo Sasa Kisiasa.
🇹🇿🙏Salama.
🇹🇿 Tunaongea lugha Moja dhidi ya Serikali kutaka uwajibikaji na Mabadiliko ya Kweli
🇹🇿 Bila kujali Dini, Ukanda, kabila Tanataka Usawa na Sauti zetu zisikike na Kufanyiwa kazi
Vijana Rika Zote
- Mazingira rafiki ya Ajira & Kujiajiri Kodi zipo juu ya Mtaji na Faida
Suluhisho
# Serikali ilinde Kwa wivu mkubwa vijana wake
- Ikomeshe Michezo ya Kamari ambayo huwaadaa vijana ambao ndio kimbilio lao
- Serikali iwape vijana walio Anza/Kudhubutu Mazingira wezeshi ya kukuza Mitaji na wataalum Wezeshi kusaidia kukua badala ya kuwaza Kodi TU
-
Miaka 64 ya Uhuru wa 🇹🇿'nyika, Ndani ya Chama Kimoja Cha Siasa, Tutasherekea kwa kukaa Ndani bila Kutoka.
- Hakuna Kutoka kutafuta kipato.
- Ajira za Mitandaoni bila Internet
- Ongezeko la grad's wasio na Ajira Rasmi likiongezeka
- Kodi 1st kwa Biashara kabla Ukaanza 😭
🇹🇿 Vikosi Halali vya Usalama wa Nchi , Vinavyotumia kodi za walipa jasho Maskini vimeshindwa na Genge la Wahuni?
NO No no!!
Kwa Nini walipwe na Kodi zetu sasa?
#Utekaji haukubalili.
Mbogamboga Selfish Leaders there the one Make Ta🇹🇿 to be where we're Today.
Mbogamboga Tunabadilisha Katiba ya Chama kwa Maslahi ya Viongozi kuwa na Nguvu juu ya wanachama, Ila Hatutaki Katiba ya Nchi Kisa Inawapa Wan'Chi Nguvu na Mamlaka.
"Tumechelewa"
Tanzania ya 29/10 Asubuhi , Ni Tofauti Sana na Itaendelea kuwa Tofauti Naya 🇹🇿 29/10 Jioni...
CCM kwa Unafiki, Ubinafsi wa Watawala NDIO wameifikisha hapo.
FRELIMO ilianzishwa hapa Dar, HQ ilikuwa hapa. Kambi za wapiganaji wao, Nachingwea.
Moro kuna kambi za ANC.
Laurent Kabila na viongozi wa AFDL makazi yao, HQ ilikuwa hapa Dar.
Museveni, Kagame wote hawa ‘watoto wa Dar’
Jirani kutweet kukemea mauji Tz unahoji maslahi yake? Wazimu