Asante sana chama changu ACT WAZALENDO
Leo Juni 6 ni kumbukumbu ya kuzaliwa wa Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Ndugu @JaneRithe
Sote tunamtakia maisha marefu, afya njema na mafanikio katika majukumu yake ya kila siku.
Leo Juni 6 ni kumbukumbu ya kuzaliwa wa Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Ndugu @JaneRithe
Sote tunamtakia maisha marefu, afya njema na mafanikio katika majukumu yake ya kila siku.
Leo Juni 6 ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mwenyekiti wetu wa @NgomeyaWanawake Taifa, Ndugu @JaneRithe.
Sote tunamtakia maisha marefu, afya njema na mafanikio katika majukumu yake ya kila siku.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka baadhi ya Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakutane naye ili wabishane kwa hoja.
Akizungumza leo Juni 5, 2026 Jijini Arusha, Kihongosi amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Nyanza, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Godbless Lema na Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Pwani, Boniface Jacob wakutane ili wabishane kwa hoja.
“Sisi wengine ukitutukana tunatabasamu tunasikia raha, mwambie mwenzio raha, matusi yamewahi kuua? Waje hapa, mimi namtaka Heche, Lema aje hapa na Boni Yai na yule Sugu wa Mbeya akae hapa halafu wote wawepo hao mimi niwe peke yangu wao wanne.”Amesema Kihongosi.
#MillardAyoUPDATES
"Hii bandari ya Dar, nchi mbili tu, DRC na Zambia; zikiamua kutopitisha mizigo yao hapa, hii bandari inakuwa haina kitu. Kwa sababu ⅔ ya mizigo ya bandari yetu inakwenda na kutoka katika nchi hizo"
Kiongozi Mstaafu wa @ACTwazalendo@zittokabwe#TaifaLaWote#MaslahiYaWote
VIDEO:
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Bw. Zitto Kabwe, ameshusha dongo lingine zito kuhusu mporomoko wa demokrasia nchini, akisema kuwa kwa sasa nguvu na thamani ya kura ya mwananchi wa kawaida imeuawa mchana kweupe, kwani maafisa wa usalama wa wilaya wana uwezo wa kupindua maamuzi ya sanduku la kura.
Akizungumza katika mwendelezo wa mahojiano yake kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo Alhamisi, Mei 28, 2026, Zitto amefichua kuwa nchi ipo kwenye mkwamo mkubwa wa kikatiba ambapo sheria zinasema jambo moja lakini mamlaka zinasimamia matakwa yao binafsi, akitolea mfano kizungumkuti kilichopo juu ya kile kinachotajwa kuwa ugawaji usio wa kikatiba wa viti vya wawakilishi wa wanawake (Viti Maalum) bungeni.