Huyu braza nilikuwa namsikia tu nikiwa mdogo leo nimekutana nae akiwa na @AyTanzania anaitwa @Boniluv ..Sikieni Boniluvu ni ninja,anaujua huu mziki vizuri
Leo ni Siku ya UKIMWI Duniani. UKIMWI bado upo. Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau tutachukua hatua mbalimbali ili kufikia malengo ya 90/90/90 ifikapo mwaka 2020 sambamba na kutokomeza UKIMWI nchini ifikapo mwaka 2030. #WorldAIDSDay2019