Hizi Kumbukumbu Nzuri Ulizotuachia Mussa, Namuomba Mola Zikawe Ujira Wenye Manufaa Kwenye Safari Yako Insha Allah… Allah Akuhifadhi Sana Rafiki Yangu.. Inna Lillah Wa Inna Ilayhi Raajiun. https://t.co/dQ3ImrYCWE
Ukimaliza kuswali fajri usikurupuke kurudi kulala soma haya👇🏿
Istighfar x3
Subhanallah 33x Alhamdulilah 33x Allahu Akbar 33x
Ayat-ul-kursi 1x
Surah Al-Ikhlas, Al-falaq, An Nas (1x) and in (3x)
Unaweza kufanya hivi kwenye swala ya Maghreb pia.
Kuvuta uradi kuna faida nyingi.🤲🏾
Happy Birthday To You Shem
Allah Akupe Maisha Marefu, Mazuri Na Yenye Kueleweka Insha Allah, Allah Baarik...
@mrshustleboss
#KibokoYakeMtu https://t.co/bM1OjFpIEW