Sijawahi Kufikiria Kutoka Chamazi Stadium Mbagala To Mikocheni Kutumia 35 Minutes, Moja ya Miundombinu ya Kimapinduzi ya Barabara yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika Jijini Dar Es Salaam ni Moja ya Alama Kubwa atakayojivua Mama @SuluhuSamia kwa vizazi na vizazi Vijavyo 🙌🏼🙌🏼
Lakini utopolo kiukweli hua mnatuchokoza wenyewe sasa ilikua na Haja gani kuja kwenye game yetu kama muokozi uwanjani kama Sio kututafuta maneno?
Heshima izingatiwe please. https://t.co/ieVxNwzmZd