Kuna siku nilienda kutembelea aunt wa Nairobi on a school holiday,nilifika masaa ya lunch, so nikaenda kwa sink kunawa mikono since niliambiwa chakula iko ready, surprisingly niliwekewa kwa sahani ya pink,ilibidi nimemwaga chakula kwa floor,nilikula nikamaliza na nikasema