"Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania limefurahi kuwa sehemu ya kunufaika na mafunzo ya teknolojia ya Akili Mnemba."
Mhe FatmaToufiq muwakilishi wa Spika wa Bunge la JMT, Dkt Tulia Ackson
Cc @giz_gmbh@OmukaHub@WPLeadersOrg#FemaleAiLeaders
Kupitia mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi juu ya teknolojia ya Akili Mnemba tumewakutanisha wabunge wanawake, kamati za bunge, waandishi wa habari, taasisi ya maendeleo ya jamii na wabunge wanaume katika kuleta Usawa wa kijinsia -
Mhe @NeemaLugangira mkurugenzi wa @OmukaHub
Shukrani za dhati kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa chama chetu, chama kinachobeba mustakabali wa Taifa letu na imani ya Watanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kuniteua kuwa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu, 2025.
Sauti yenu na uamuzi wenu ni sauti na uamuzi wa mamilioni ya Watanzania wanaofurahia matunda ya kazi nzuri inayofanywa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ahadi yangu ni kuendelea na kazi njema ya kuitumikia nchi yetu na Watanzania wote kwa nguvu zote, akili na maarifa yangu yote, wakati wote.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa waja wake na Taifa letu aendelee kutusimamia, kutuongoza na kutufanikisha. In'Sha'Allah.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania.
Asante kwa ๐๐ฎ๐ฝ๐ผ๐๐ถ 2024 - Mhe. @BonnahKa.
Familia ya #ElimikaWikiendi imekuvika 2025 za amani, upendo na mafanikio wewe na familia yako.
๐ฏ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐!
Asante kwa ๐๐ฎ๐ฝ๐ผ๐๐ถ 2024 - Mhe. @BonnahKa.
Familia ya #ElimikaWikiendi imekuvika 2025 za amani, upendo na mafanikio wewe na familia yako.
๐ฏ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐!
Karibuni kwenye jukwaa la #ElimikaWikiendi leo nitazungumzia kwa kina juu ya fursa na changamoto za wanawake na uongozi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. #HojaZetu
@Yahya_Poli@ElimikaWikiendi@Mwitah_tz Karibu sana, Mimi nitaendelea kusimama na wana kipunguni ili zoezi la ulipaji fidia limalizike, Wananchi hawa wanaishi kwenye Mazingira magumu, nafahamu Serikali wanalijua hili ni mara kadhaa nazungumza bungeni, hawa Wananchi walipwe wamesubiri sana.
Jimbo la Segerea tumejiandaa kikakimilifu kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na kuna muamko mkubwa wa wanawake kugombea nafasi mbalimbali kwenye Chaguzi hizi. #ElimikaWikiendi#HojaZetu
Mwanamke kwenye ngazi ya uongozi husikilizwa zaidi akiweza kuunganisha jamii.
Jimboni kwangu wananchi wengi wananipa ushirikiano kutokana na kushiriki kwa pamoja katika shughuli za Kijamii na Maendeleo.
#ElimikaWikiendi#HojaZetu
@Bless_paula26 Taarifa zote ziko pale, watu wasiende serikali za mitaa kujaza fomu tu na mihuri tu, taarifa za miradi na mambo mengine ya maendeleo kwenye eneo lako utapata pale.
Mpaka Sasa Jimbo la Segerea tuna Vikundi 376 vya wanawake vinavyo nufaika na Mikopo ya 10% ya Halmashauri, hivyo tunatengeneza wigo mpana wa Wanawake kujikwamua kiuchumi.
#ElimikaWikiendi#HojaZetu
@TweveDevota Hii kitu ipo sana, ni moja ya vitu vinavyopelekea Wanawake kutoshiriki kwenye siasa, ni vyema wanawake wakasimama, wakajiamini na kuamini wanaweza kushinda kwa Sera nzuri na hakuna nafasi ya kutoa rushwa ili uwe kiongozi, hii ianze na sisi wenyewe.
MWISHO;
Nipende kuwatakia kila la Kheri wanawake wote waliotia nia kugombea katika uchaguzi wa serikali za mitaa na niwakaribishe kwenye ulingo wa siasa.
Karibu Sana Jimbo La Segerea. ๐๐๐พ
#ElimikaWikiendi#HojaZetu
@Yahya_Poli@Mwitah_tz@ElimikaWikiendi Binafsi nafahamu vizuri changamoto ya Wana Kipunguni, nitashukuru sana Serikali Kupitia Wizara ya Fedha Chini ya @mwigulunchemba1 watakapo lipa fidia ya wakazi hawa, Wamesubiri kwa muda mrefu sana.