Kampuni ya FIC Imenitapeli – Naombeni Ushauri
Ndugu wanajamii,
Nimejikuta katika hali ngumu baada ya kuwekeza zaidi ya shilingi milioni 1 katika kampuni ya FIC, lakini sasa fedha hizo hazipatikani. Nimejaribu kutoa bila mafanikio, na sijapata majibu ya kuridhisha.
*RAIS SAMIA AMEIMARISHA SEKTA YA AFYA NCHINI:UWT*
📍Tanga
🗓️27 Februari 2025
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) imeeleza kuwa katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia,Sekta ya Afya imeboreshwa na kuimarika jambo lililochagizwa
Septemba, 09, 2024 jijini Dar es Salaam Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo(Mb.) alipotembelea Ofisi za BRELA kwa lengo la ili kujionea utendaji kazi na kujifunza jinsi Wakala huyo miongoni mwa Taasisi 13 zilizo chini ya Wizara ya Viwanda
Ni Vilio, Simanzi Vimetawala Kwenye Ibada Ya Kuuaga Mwili Wa Marehemu Joseph Francis Michael Maarufu Mandojo Nguli Aliwafungulia Vijana Fursa Ya Kutambua Mziki Ni Biashara.
Mandojo Alizaliwa 22/ 8/ 1978 , Alianza Elimu Yake Ya Msingi Mwaka 1988 Mpaka 1994 Katika Shule Ya Msingi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Kabla ya uteuzi huu Mhe. Silaa alikuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, anachukua nafasi ya nape
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Kombo kuwa Mbunge na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Kabla ya uteuzi huu Kombo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Italy, anachukua nafasi ya Mhe. January Yusuf Makamb)
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye na amemteua Jerry Silaa kuwa Waziri wa wizara hiyo.
Pia, Rais Samia ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Yusuf
Huyu ni Bassirou Faye, Rais wa Senegal na Rais mwenye umri mdogo zaidi Afrika. Hapa anakagua mradi wa kwanza wa Senagal wa uchimbaji Mafuta. Rais Faye anasema anafuraha kubwa kuona vijana wa Senegal wanatumia ujuzi wao kwenye mradi wa kuchimba Mafuta yao
📍Bungeni,Dodoma
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akijibu swali kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali kupunguza wingi wa tozo na kodi ili kuimarisha mazingira ya uwekezaji na ufanyaji biashara nchini, bungeni jijini Dodoma.
📸:W/Fedha
"Katika mwaka 2023/2024, Wizara imeendelea kusimamia shughuli za mifugo na kuwezesha uzalishaji ambapo idadi ya nguruwe nchini imeongezeka kutoka milioni 3.7 hadi milioni 3.9, aidha sekta ya mifugo kwa mwaka 2023 ilikua kwa asilimia 5 na kuchangia asilimia 6.7 kwenye Pato la Taif
"Katika mwaka 2023/2024, wizara ya mifugo kupitia Kituo cha Taifa cha Uhimilishaji (NAIC) imezalisha dozi 111,844 za mbegu za ng’ombe na kusambaza dozi 67,958, Aidha, Wizara imewajengea uwezo wahimilishaji 196 kutoka katika Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM).