Usinywe pombe ukaenda kumpiga mke nyumbani, kunywa pombe lakini pia hamasisha elimu, changia elimu, amasisha ushindi wa timu ya taifa kua brand tengeneza pesa, wengine wanajadili dili wakiwa bar piere anatengeneza brand akiwa bar. ...#ulevi wenye tija somo kwa wanywaji wote
Watanzania wote tupo nyuma yenu wachezaji wetu wa Taifa Stars kuhakikisha tunashinda dhidi ya Uganda, na sababu zote za kufanya hivyo tunazo. Naamini mtashinda na kutufanya Watanzania tutembee kifua mbele. Nawaombea kwa Mwenyezi Mungu mfanye vizuri. #Afcon2019ZamuYetu
The KING is here !!! We start the NY tonight at The NRGWave Showdown, Grand finale-Mombasa Sports Club Goodbye2018 - Hello2019
#MofayaByAlikiba#RockstarAfrica#KingKiba
Zawadi kubwa utakayojipa ni kuamua kuwa wewe na sio watu wanachotaka uwe. Maisha ni yako wewe alafu unaishi kwa mpango wa wengine ni kama umepigana ukapata elf 1 yako alafu mtu anakuambia weweee achaaaa usile chakula, nipe mimi nikanunue condom nina game baadae alafu unampa.