Kuna unyama upo Youtube unaenda kwa jina la โBaba Oliviaโ ni series na mwenenu nimetisha kuanzia Season2 ๐โฆ Pitieni kule mkachek!!!
NB: โKachumba kalikua kameshaingia kingiโฆ!!!โ ๐ #BabaOliviaS2#SH4L#WeMove #161
Makundi kama Kool & The Gang ama De La Soul wamefanya ngoma 80s & 90s na mangoma yao yanapatikana kwenye Kila digital streaming platform.
Hapa kwetu Kuna watu kama GWM ama Weusi Wagumu Asilia Kupata ngoma zao mpaka upambane sana.
Bongo Flava has a long way ahead.
โNimezungukwa hulka nnaowaita broski/
Sipendi actors, nakataa wenye swaga za Kigosi/
Snapbaq kupunguza athari za mionzi kwa utosi/
Nafosi nitoke vipi deile ka Bwana Misosi/โ
@BrianSimba_