Mheshimiwa Lissu: "Polepole amepatikana? Eh! Wamempata Polepole? Au ni yaleyale ya Mohammed Kibao? Eti, Humphrey Polepole amepatikana? Bado? Mama anasemaje? Mama anasemaje juu ya Balozi wake Humphrey Polepole? Au ni haki na utu?"
["Amepelekwa comoro...kwa mujibu wa naniliu", alisikika akinong'ona mwananchi mmoja]
That aside, hii ni mara ya pili Mheshimiwa Lissu anatoa hints kuhusu whereabouts za Balozi Polepole. #VijanaWaOvyo mnaita "ametoa code".
https://t.co/3kE0zlxrjv
Oiii harusi kama hizi nialikeni tu ,nispewe msosi kwa sababu nimezamia 😁nataka hilo “vaibu” la Hiphop harusini 😁😁😁maana harusi za siku hizi unasikia bwana harusi anataka kibao kata mara unasikia tu anaitwa Anko C ( @chapo255 ) unaambiwa rafiki wa bi harusi 😁,upumbavu tu
#Mafanikio
1️⃣ Unataka kutoka kwenye hali ngumu kifedha?
Watu wengi wanapambana na pesa, lakini wachache wanajua kanuni sahihi za utajiri.
Huu ni Uzi wa ukweli kuhusu jinsi ya kutoka kwenye umasikini hadi uhuru wa kifedha.
Soma hadi mwisho. 🧵👇
2️⃣ Ukweli wa kwanza:
Hakuna mtu atakayekutajirisha.
Hakuna serikali itakayokupa maisha bora.
Hakuna miujiza ya kifedha itakayokuja ghafla.
Ukitaka pesa, lazima ujifunze kuzitengeneza!
3️⃣ Matajiri wote wana kitu kimoja: WANAMILIKI VYANZO VYA MAPATO.
✅ Unapataje pesa ukiwa umelala?
✅ Kazi yako ikiisha leo, utaendelea kupata pesa?
✅ Je, unafikiria nje ya mshahara?
Kama jibu ni hapana, bado hujaanza safari ya uhuru wa kifedha.
4️⃣ Kamwe usitegemee mshahara pekee.
Mshahara ni mzuri kwa kuanzia, lakini ni mtego.
Watu wengi wanajikuta wamefungwa kwenye kazi zao milele kwa sababu hawakuwahi kujifunza kutengeneza vyanzo vya ziada.
5️⃣ Badala ya kusema "Sina pesa," anza kuuliza: "Nawezaje kupata pesa?"
💡 Uza ujuzi wako.
💡 Jifunze biashara.
💡 Wekeza kwenye mali zinazoleta kipato.
Pesa inakuja kwa wanaotafuta suluhisho, si kwa wanaolalamika.
6️⃣ Ukitaka kuwa na uhuru wa kifedha, achana na maisha ya kifahari kabla hujajenga utajiri.
🚫 Simu mpya kila mwaka.
🚫 Kununua vitu kwa show-off.
🚫 Kutumia zaidi ya unachopata.
Utajiri unajengwa na nidhamu, uvumilivu, na maamuzi sahihi.
7️⃣ Kanuni ya dhahabu:
🎯 Tumia pesa zako kwenye mali zinazokuongezea kipato.
🎯 Achana na madeni yasiyo na faida.
🎯 Wekeza mapema, hata kama ni kidogo.
Kadri unavyoanza mapema, ndivyo unavyotengeneza utajiri wa kweli.
8️⃣ Kama unataka pesa, acha kufikiria kama maskini.
🚀 Jifunze kuhusu uwekezaji.
🚀 Tafuta njia za kuongeza thamani yako.
🚀 Badili mtazamo wako kuhusu pesa.
Akili yako inatawala akaunti yako ya benki.
9️⃣ Mwisho:
Hakuna siri kubwa ya pesa.
✅ Tafuta njia ya kuongeza mapato.
✅ Usitumie pesa hovyo.
✅ Wekeza mapema na kwa akili.
✅ Acha kutegemea mshahara pekee.
Ukifuata haya, uhuru wa kifedha ni wako!
Umefika mwisho wa uzi.
🗣️ Unakubaliana na haya?
👉 Retweet ili na wengine wajifunze.
💬 Niambie ni changamoto gani unazokutana nazo kwenye pesa!
Wanafunzi wa form 6 Mzumbe Sec yaani Christopher Honeywick na David Mwijage wamebuni mfumo wa Uchaguzi wa Kidigitali hapo Shuleni kwao. Mfumo huo unaonesha Matokeo Live, Unapunguza gharama za uchaguzi, Unaondoa uibaji wa kura na Ucheleweshaji wa matokeo. Vijana hawa wazingatiwe.