Usimfanye mwanamke/ mwanaume apiganie nafasi ambayo tayari alipaswa kuwa nayo.
Mapenzi sio mashindano.
Ukimpenda,
mpe uhakika.
Kwa sababu mashaka huua mapenzi taratibu kuliko ugomvi.
At personal level, Muda na energy tunayopoteza kwenye kujilaumu au kuwaza namna hili tatizo tungeweza kulizuia lisitokee, ndio uwa vinatuchelewesha kuingia phase ya problem solving.
Unaingia kwenye kukabiliana na tatizo tayari umeshachoka emotionally na physically.
Hakuna kitu kimerahisishwa sana siku hizi kama kufanya miamala. Ugumu umebakia kwenye kuipata hiyo pesa. Bora wangeanza kurahisisha upatikanaji wa pesa kwanza
1. Omba — lakini fanya kazi.
2. Amini — lakini jitume.
3. Subiri — lakini usilale.
4. Vumilia — lakini usiache.
5. Mungu hubariki wanaoendelea.
Good Morning
Kama Unafanya Marketing...
Basi jifunze:
1. Psychology - Elewa watu wanataka nini kabla ya kuuza chochote.
2. Timing - Ujumbe sahihi kwa muda sahihi huongeza sales.
3. Community - Audience inayohusika na content yako ndiyo asset kubwa zaidi.
Bookmark This!
Unataka kuuza zaidi?
Tumia hii kanuni unapotangaza biashara yako.
Inaitwa "Application Proof"...
Thibitisha faida za kutumia bidhaa/huduma yako kwa kuonyesha mifano halisi au ushuhuda kutoka kwa mteja.
Inaongeza kuaminika kwa biashara yako na kumshawishi mteja kununua.
Steve Jobs, mwanzilishi mwenza wa Apple, aliwahi kusema:
"Do not try to do everything. Do one thing well."
Kwenye biashara yako...
- Chagua hadhira lengwa
- Tatua tatizo moja walilonalo
- Toa ofa moja inayowasaidia
KUWA SPECIFIC. Ukijaribu kuuza kwa kila mtu, hautauza kabisa.
Kutoelewana haimaanishi upendo umeisha inamaana ya kwamba mioyo yote miwili inauma..
Sikiliza halafu zungumza kwa upole , sio wewe dhidi yake, bali nyinyi wawili dhidi ya tatizo...
Chagua upendo badala ya kiburi.
Kila mwanaume atafika katika kipindi ambacho hawezi tena kujali kuhusu watu, kula bata au matatizo...
Atakachokua anataka ni amani, malengo, na kuwa na familia bora!
Mkiwa mnakunywa na watoto wa kishua na unaanza kuona ugomvi utatokea wewe jiondoe mapema,
ila hakikisha umepitia supermarket nunua hata maji ili upewe risiti
na ukiweza gombana na anaeuza ili akukumbuke ulipita hapo
Hivyo vitakusaidia sana ukiwa unaeleza hukuwepo kwenye tukio
1.Kwenye familia nyingi huwa hivii ,
2.Mwenye pesa sio tu ndugu — ni suluhisho.
3.Ukiwa na hela kidogo, unakuwa tegemeo.
4.Ukiwa na hela nyingi, unakuwa shujaa.
5.Ukikosa — unakuwa mzigo.
Kuna namna mwanamke anakusikiliza…
Mpaka unajikuta unamwambia vitu ambavyo hujawahi kumwambia mtu mwingine.
Kwa sababu uwepo wake unakupa amani.
Such kind of love
Kwenye Mipango yako ya Kutafuta Hela Jitahidi sana Uwalenge Maskini.
Kuna Urahisi sana Kuchukua Hela ya Maskini Kuliko Hela ya Tajiri.
Nini Maoni Yako..?
Kama ukiona mtu anapambana anafanikiwa moyo wako unakuuma unachukia, weka mkono wako wa kulia kifuani, tazama juu na jigonge gonge kifuani ukisema
“Ee Mungu mimi ni mchawi naomba niokoe na dhambi hii Baba”.
Good morning hustlers 👊🏾
Unavyozidi ku consume chakula,ndivyo utanenepa,unavyozidi kutumia vilevi ndivyo unavyokua Mlevi,unavyozidi kufanya mazoezi ndivyo unavyozidi kuimarika kimwili na kiakili,unavyozidi kulinda amani yako ndivyo unapata utulivu wa nafsi.
Imagine unavyozidi kusoma neno la Mungu.🙌🏼