Zlatan Ibrahimovic kuhusu Lionel Messi: "Alikua mnyama na hakuna mtu angeweza kumshika."
"Aliendelea tu, na huyu ndiye niliyemwona, tumezoea kumuona, na bado tunaona."
"Kumbuka, tayari alishinda Kombe hili la Dunia. Mataji mengi, Ballon d'Or, kila kitu."
"Unaweza kuona CV yake
πEnzo fernandez
π£"Nilikuwa nikitarajia nyakati hizi kwa msisimko mkubwa tangu mashindano ya Qatar. Ilikuwa ni hisia ya ajabu kuona yote yakitimia kwa lengo langu katika dakika za mwisho. Asante kwa wachezaji wenzangu wote na watu wa Argentina"
Safari ya King Messi inaishia leo unless kipindi cha pili arudi yeye mwenyewe kwenye kiwango chake bora kabisa
Mawinga wa Argentina they are dead, kumweka De Paul acheze kama winga ni hasara ni mzuri akiwa anacheza kati, Julian Alvarez anaiwaza Barcelona
Lamine Yamal kwenye Kombe la Dunia mpaka sasa ana goli moja kwenye mechi tano.
Amekuwa mchezaji bora wa mechi mara moja, unampa ngapi mpaka sasa kwa kiwango ambacho ameonesha?
Je unaona akishinda tuzo ya mchezaji bora kijana wa mashindano
Marc Cucurella: βCristiano Ronaldo ni gwiji wa soka.
Aliwatia moyo vijana wengi na kucheza dhidi yake daima ni motisha, kwa sababu nilipokuwa mtoto nilikuwa nikimtazama kwenye TV na sasa nilipata nafasi ya kukabiliana naye kwenye Kombe la Dunia
Cristiano Ronaldo baada ya kuondolewa kwenye Kombe la Dunia 2026:
"Nimeshinda mataji MATATU na Ureno. Kabla ya Cristiano, Ureno haikushinda KITU."
βTaji kubwa nililoshinda nikiwa na Timu ya Taifa lilikuwa Euro 2016... Kwangu mimi EURO ina THAMANI SAWA na Kombe la Dunia
Cristiano Ronaldo
π£"Mwanangu na Lamine Yamal wanafanana sana, rangi ya ngozi yao, ngozi nyeusi, nywele zao... Wametofautiana kwa miaka 3. Nampenda sana Lamine Yamal, na mwanangu anamvutia sana."
Ricardo Quaresma juu ya kuondolewa kwa Ureno:
"Kila mtu alikuwa akisema timu hii ilikuwa bora zaidi katika historia ya Ureno, lakini kwa njia gani? Wameshinda nini? Tunarudi nyumbani tukiwa tumeinamisha vichwa vyetu
"Katika safu ya kiungo, tuna wachezaji wazuri na wenye vipaji
Rais wa Marekani Donald Trump Amempigia simu Rais wa FIFA Gianni Infantino ili kupitia kusimamishwa kwa mfungaji bora wa Kombe la Dunia wa timu ya Marekani Folarin Balogun
Baada ya Mazungumzo ya Kina Baina Yao Kadi yake nyekundu imebadilishwa tangu wakati huo na kumruhusu kuche
πReporter
Je, ni nani kati ya Mbappe na wewe mwenyewe unadhani amekuwa mchezaji bora hadi sasa katika michuano hii?"
π£οΈErling Haaland:"Lionel Messi""
π¨BREAKING NEWS
"Kama Nahodha Jukumu Langu Ni Timu,Nidhamu Ni Bora Kuliko Kipaji Hivyo Nitazungumza Kesho (Jumatatu) Sio Busara Mchezaji Kurubuniwa."Dickson Job Nahodha wa Yanga
Tuanze na hapo!ndio madeni au ndio la Mshery
Daah, siku wakibeba ligi watamfuata kila mchezaji wa Yanga na maboss wa timu hiyo kwa ajili ya kuwaonesha kombe.
Picha ambayo Simba walikuwa wanaitaka wameipata and it's very satisfying kwao, utani wa jadi ambao hauna madhara kabisa, utani kwenye ubora wake
π¨Wachezaji wa Yanga SC, licha ya kuahidiwa Bonus ya Milioni 700 kama watashinda mechi saba za mwisho na Kubeba Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC bado hajapewa hadi sasa.
Kwa mujibu wa taarifa wachezaji wa Yanga SC waliahidiwa watapewa siku ya pili mara baada ya kubeba Ubingwa
Wao wanasema they are very very extremely happy ππππ.
Magori na Mangungu wamepitia mafuriko kwa hiyo fair kusema wamestahili sana hili taji
Oliver Toure nilidhani atakuwa mchezaji bora wa mechi maana kupambana na yule Kitambala unahitaji uwe kwenye siku bora lakini kamzima utadhani hajawahi kucheza mpira.
Mzuri juu, mgumu kwenye 1v1, mapambano yote kashinda, ililiws masterclass kutoka kwake, sajili makini sana.
π¨AHMED ALLY AMESEMA KESHO
Simba Sc itafanya ππππππ la Ubingwa wa Kombe la CRDB kesho Jumapili Julai 5, 2026 kuanzia saa nne asubuhi.
ππππππ litaanzia Airport - Buguruni - Kigogo - Jangwani - Msimbazi na litamalizikia COCO BEACH