Leo kuna kila Dalili michango yetu kwenda CHADEMA ikafikia MILIONI 200.
Nitatakiwa kuwasilisha MILIONI 3 Kuanza safari kuitafuta MILIONI 300.
Kauli mbiu yetu ni moja tuu “CHANGA TENA NA TENA” mimi pia baada ya kuchanga leo MILIONI 3 haimaanishi nimemaliza.
Nilichanga 1M.
Nikachanga 2M.
Leo naenda kuchanga 3M.
Na bado kuanza safari ya 334M nitachanga tena.
Furaha yangu kuona MAKOLONI MEUSI hayalali yanaiwaza CHADEMA. NAPENDA SANA KUONA VICHWA VYAO VINAWAKA MOTO..!
Changia sasa tufikishe 200M
0744446969
Jina: CHADEMA HQ
REPOST 200.