Isingekua kusoma BIBLE sasa hivi ningekua mbele za haki, nashuhudia kwa kusema kile ni kitabu chenye nguvu za ajabu.
2022 kilinifundisha na kunivisha busara za uzee ningali mdogo sana.🙏🏾✨
@nassor_01 Hisabati ulikuwa unasinzia darasani mwanetu
wanawake 700 na michepuko 300 jumla ni mbususu 1000
akilomba wawili kila siku
mwaka una siku 365
365×2=730
kwahio itamchukua mwaka 1 na miezi kadhaa ili kulomba mbususu 1000 bila kurudia hata mmoja
🚨Vitinha kuhusu Arsenal kuchukua epl na aina ya mpira wanaocheza:
“Najiuliza maswali mengi sana wamechukua vipi ubingwa wa epl Kwa kutengemea defense system na dead balls Manchester United Ndio timu kubwa kutoka England.”