Mdogo wangu wa kiume. Siku ya kwanza mkeo kukunyima haki ya kuning'inia, usibembeleze wala kumuonesha kuwa umeumia. Mwambie kuwa siku akijisikia akujulishe.
Baada ya hapo usioneshe hata dalili ya kumtamani, endelea kutimiza majukumu yako bila hasira. Utanipa majibu baada ya hapo.