Zamani ulikuwa ukiendesha gari kuna kona kona na tumilima kwenye njia nyembamba.
Siku hizi barabara zote pana na hazina kona wala milima unateleza tu,unaweza kuiona kimara ukiwa Magomeni usalama.
@kapeto98 Biashara inatakiwa ijiendeshe na ijilipe yenyewe, hela anayomwaga boss sio kwamba imetokana investment ya kampuni hiyo moja , hela mnazolipwa nyie ni kutokana na mnachozalisha au kumwingizia yeye
« La valeur d'une formation universitaire ne réside pas dans l'apprentissage d'un grand nombre de faits, mais dans l'entraînement de l'esprit à penser. »
Albert. Einstein
« Si tu as un problème, cela signifie qu'il peut être résolu. S'il ne peut pas être résolu, alors ce n'est pas un problème. C'est une réalité qu'il faut accepter. »
— Gustavo Fring