BWANA CHUGA anasema alifanya kikao na RICKROSS na DJ KHALEED kuwashawishi waitangaze TZ haikua ilikua ngumu sababu kuna nchi kubwa Duniani zilikua zinamtaka azitangaze ila ushawishi wake RICKROSS akaikubalia Tanzania na anaitangaza bure. Binafsi hapa naona kama hii ni KAMBA ๐