Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu (Kushoto) akimkabidhi Tuzo Kwa Mwanzilishi na Mkurugenzi Kampuni Yako Bumaco Insurance, Ndg Clement Z. Kwayu Tuzo Ya Mchangiaji Mkubwa wa Kodi Ya Mapato 2021/2022 Kilimanjaro iliyotolewa na @TRATanzania
Kutokea Kushoto, Ni Mkurugenzi Mtendaji wa ACISP, Bi. Cindy Richards; Mkurugezi Mtendaji wa Assemble Insurance Company Bi. Tabia Massudi; na Mkurugenzi Bumaco Life Insurance Company,Dkt. Aikande Kwayu - Wakiwa Katika Wiki Ya Bima 2025, Arusha #insurancetz#insuranceweek
ARUSHA INSURANCE WIKI: Mwenyekiti wa Bumaco Life - Dkt. Rogathe Mshana, Mkurugenzi Mtendaji wa Bumaco Life - Dkt. Aikande Kwayu, na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bumaco Insurance - Dkt. Shirumisha Kwayu pamoja na Mjumbe wa Bodi Bumaco Life - Bi. Michelle Mshiu. #insurancetz
Kampuni Zako Za Bima, Bumaco Insurance na Bumaco Life @LifeBumaco Wameshiriki na Kudhamini concert Ya Twenzetu Kwa Yesu, iliyofanyika Mlimani City, Dar es Salaam.
Kampuni yako Ya Bima, Bumaco Insurance Kama Wadhamini wa Tuzo za Tanzania Gospel Music Award, wamewakilishwa na Meneja Masoko Tawi la Garden Avenue, Bw. Aggrey Makundi iliyofanyika Mlimani City, Dar es Salaam Jana Usiku. #tanzaniagospelmusicawards#gospelmusic#insurancetz
Kampuni Yako Ya Bima Bumaco Insurance, Yapongezwa na Kukabidhiwa Cheti Kama Mmoja Wa Wadhamini wa Jukwaa la Vyama Vya Ushirika Mwanza Hotel jijini Mwanza. #insurancetz#bumacoinsurance#bumacolife#bumacoltd