We provide life insurance services to both individual and group clients in Tanzania.|#Providence |#LifeInsurance | We are here to serve you in managing risks.
Habemus Papam!
Pongezi za dhati kwa Kardinali Robert Francis Prevost, Papa Leo XIV kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.
Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninakutakia kila la kheri katika utumishi wako kwa Kanisa na Dunia kwa ujumla.
Mwenyezi Mungu akusimamie na kukuongoza.
#VETA ni kwa ajili ya kujipatia #Ujuzi … familia ya #Bumaco imejikita katika ujuzi wa kupambana na kupunguza madhara na athari za majanga ya kimaisha … njoo upate elimu bure juu ya #Bima kwa ajili ya manufaa yako binafsi, familia, na pia shughuli zako kama vile biashara, nk
Karibu kwenye kampuni yenu ya Bima za Maisha - Bumaco. Kusherekea wiki hii ya wewe mfalme na malkia wetu- mteja- tunakuletea ofa kabambe - tupigie simu 0733003379
Mhasisi na Mkurugenzi Mtendaji wa Bumaco Insurance Company, Ndg Clement Z. Kwayu atatoa Elimu Madhubuti Kwa Mfanyabiashara, Mjasiriamali, Mwekezaji Njoo Ujifunze Utapata Kitu Kutoka Kwa Mtaalam na Mbobevu Wa Biashara. Mahali ni Arusha, Corridor Springs Hotel tarehe 5 October 2024
Heri ya Siku ya Baba Duniani #FathersDay … onyesha upendo wa familia yako kwa vitendo - kata #Bima ya #Maisha kwa ajili ya elimu na future ya watoto wako.
#Bima
Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wote wa Bumaco Life Insurance wanatoa pole kwa Rais @SuluhuSamia , familia, ndugu na Watanzania wote kwa msiba wa Rais Mstaafu - Mzee Ali Hassan Mwinyi.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.