Karibu kwenye kampuni yenu ya Bima za Maisha - Bumaco. Kusherekea wiki hii ya wewe mfalme na malkia wetu- mteja- tunakuletea ofa kabambe - tupigie simu 0733003379
Mhasisi na Mkurugenzi Mtendaji wa Bumaco Insurance Company, Ndg Clement Z. Kwayu atatoa Elimu Madhubuti Kwa Mfanyabiashara, Mjasiriamali, Mwekezaji Njoo Ujifunze Utapata Kitu Kutoka Kwa Mtaalam na Mbobevu Wa Biashara. Mahali ni Arusha, Corridor Springs Hotel tarehe 5 October 2024
We are pleased to launch the Annual Call for Proposals -- 2023 for the Canada Fund for Local Initiatives (#CFLI) for Comoros, Tanzania, and Zambia #CanadaFundDSLAM
Salamu za Mwaka kwa Wateja Wetu. 1/
Mwaka wa 2022 umekuwa ni mwaka wa baraka. Tunamshukuru Mungu kwa neema zake za uhai hadi leo. Dunia imeweza, kwa upande mkubwa, kudhibiti janga la UVIKO19.