CrownShelf || Your Royal Bookstop
Books for leaders, dreamers & doers.
Mixed reads || Dar es Tanzania|| DM to order
#WisdomsWealth
innovate||elevate||Dominate
@FKihamu Mmekalia kuangalia numbers Aya acha dunia iwashangaze
Nioneshe mchezaje alikuwa na sats nzuri kuzidi uyu last season
Af angalia alikuwa wangapi na tuzi alichukua nan
TRA walikubaliana na Zemanga signing fee ya Million 52 na Mshahara wa Million 8 lakini dili baadae lilikufa ikidaiwa Kocha alikuwa na option zingine ndipo akaenda kusaini Aigle du Congo.
WEโRE GIVING AWAY 20X 10K Instant Accounts ๐
How to enter ๐
1๏ธโฃ Like & Repost
2๏ธโฃ Tag 3 friends
3๏ธโฃ Engage with our latest 3 posts
(Like & Repost)
4๏ธโฃ Sign Up To Our Dashboard
https://t.co/oN4TkYHb5H
๐ Winners announced June 8th.
Are you in? ๐
Hakuna mtu ambae tangu siku ya kwanza alikuwa mbobezi katika jambo fulani. Ktk field yoyote, kila binadamu alianza kama mwanafunzi kabla ya kuwa mtaalamu
Kuanzia kumiliki pesa nyingi, magari ya kifahari, nyumba ufukweni, biashara, safari za nje ya nchi, freedom na mengine mengi,
Miaka 10 iliyopita aliweza kuzungumza vitu vyote atakavyovifanya kwenye maisha yake live pale youtube,
Then akaweza kuvifanikisha,
Kumekuwa na maswali mengi sana juu ya mambo anayoyafanya, footprint na ukweli wa mafanikio yake,
Ukweli ambao watu wengi wamekuwa wakiogopa kuuliza hata wanapofanya nae podcast/interview,
Lakini kwa faida ya wengi tumeuliza maswali hayo yote from A - Z na kumfanya afunguke vitu ambavyo hajawahi kusema popote pale,
Zaidi ya hapo ameelezea kiundani experience yake ya maisha yote aliyopitia, highs, lows, lessons, namna anavyo-handle pesa, investments, pressure, anavyoweza ku-maintain, kupanga mipango ya muda mrefu na kuitimiza na mengine mengi,
Kitu ambacho kinafanya episode hii kuwa very EXCEPTIONAL na yamoto kuliko mtu yoyote anavyoweza ku-imagine,
Na kufanya tuipe hadhi ya kuiita full MASTERCLASS,
Masterclass ambayo kukupa nafasi ya kuiona for free ni upendeleo mkubwa sana,
Na impact ya masterclass hii itaacha, value, information na alama kubwa sana kwenye maisha yako,
Kutazama full episode click link kwenye bio au search Letโs Impact Millions pale YouTube, subscribe na turn on notifications,
๐๐๐
https://t.co/T07wkSVztN
Tukifika subscribers 15,000 (Only 700 to go) tu tuna-release official episode,
OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS.
Tafuta hela usiku & mchana
Tafuta hela kwa hasira sana
Huku nje watoto wa kike wanafanyiwa vitu vya ajabu sana sababu ya umaskini
Huku nje vijana wa kiume wanadhalilika sana sababu ya umaskini
Tafuta hela uwaepushe wanao na fedheha, dhihaka na aibu.