#VIDEO Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeahirisha kesi namba 23627 ya mwaka 2024 ya kubaka kwa kundi inayomkabiri Fatmah Kigondo โAfandeโ baada ya Hakimu Francis Kishenyi kubadilishiwa kituo cha kazi.
Shauri hilo lililofungulia na wakili Paul Kisabo lilianza kusikilizwa Agosti 23,2024 kabla ya kuahirisha hadi leo Septemba 05,2024 ambapo shauri hilo limeahirishwa hadi Octoba 07,2024
Nje ya mahakama tumempata wakili Paul Kisabo ambaye ndiye aliyefungua shauri hili amesema โTulipofika hapa mahakamani tumepewq taarifa kuwa hakimu Francis Kishenyi amehamishwa kituo cha kazi kwahiyo shauri limeahirishwa mbele ya mheshimiwa Tungalaja na mamlaka katika shauri hili ni kuahirisha tu kwasababu shauri hili halijapangiwa hakimu wakulisikiliza na siku ya leo Fatmah Kigondo alifika mahakamani hivyo shauri limeahirishwa hadi tarehe 07-10-2024 katika mahakama hii ya hakimu mkazi Dodoma tunaamini siku hiyo tutakuta shauri limepangiwa hakimu wa kulisikilizaโ. #MillardAyoUPDATES
๐ Saturday 7th September
๐ 14:00
๐#OldTrafford
Berba, Rooney and co. back in M16 ๐๏ธ๐ด
You won't want to miss it! ๐คฉ๐๏ธ
#MULegends | #CelticFC
Wakati tunasubiri Juventus ashinde tuchukue 260K tukate 70K tuweke hili jamvi la kuanzia Jumanne kesho hadi Jumamosi
Naomba watu 130 tufe na huu mkeka. Weka buku 7K ule 800K tu
RETWEET NIKUTUMIE CODE DM MAPEMA ZAIDI B4 ODDS ZISHUKE
๐Hakikisha umenifollow