@Chahali Ni kushukuru mvua iliyonyesha tumeona panapovuja ila kuna somo la kujifunza kukabiliana na uharifu wa mitandaoni na wadukuzi wa taarifa nyeti.Hii ni hatari kwa taifa wapuuzi wachache kudhalilisha taifa.
@cecild84 The problem is... a man own a french woman "first lady."
Nothing magical will be done there in Guinea."that's is like a biblical story of Samson and Delilah"๐
@rollymsouth Leo Tshs 100 na Tshs 50.
Hazipatikani kwenye mzunguko shida imeanzia hapo pia b.o.t wachapishe noti yenye thamani kubwa zaidi ya hiyo Tshs 10,000/= itasaidia.