โ ๐๐ฅ๐๐ ๐๐ ๐ง๐จ๐ก๐๐ ๐ง๐๐๐ ๐ฆ๐๐ ๐๐, ๐๐ช๐ ๐ ๐ฉ๐จ๐ ๐๐ช๐ ๐๐จ๐, ๐ง๐จ๐ก๐๐ ๐ฉ๐จ๐ฆ๐๐ ๐ข๐๐ง๐ข๐๐ 29
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Iramba katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Singida tarehe 10 Septemba, 2025.
#KaziNaUtu
#CHAGUASAMIA
#CHAGUACCM
โ ๐๐๐ฃ๐ ๐๐๐๐ ๐ช๐๐ก๐๐ฆ๐๐ ๐ ๐ ๐๐๐ง๐ ๐๐๐ง. ๐ฆ๐๐ ๐๐, ๐ข๐๐ง๐ข๐๐ ๐ง๐จ๐ก๐๐ง๐๐๐
Sehemu ya Wananchi wa wilaya ya Bahi mkoani Dodoma waliojiitokeza kwa makundi mbalimbali wakiwemo maafisa usafirishaji (bodaboda) na Wajasiriamali kwaajili ya kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป leo tarehe 9 Septemba 2025.
Wananchi hao wamejitokeza pembezoni mwa barabara huku wakisema kwa kauli moja ๐๐๐ฅ๐ ๐ฝ๐๐๐ ๐๐๐ฃ๐ ๐ฃ๐ ๐ข๐ค๐๐ ๐ฉ๐ช, ๐๐ผ๐๐๐ผ ๐๐ผ๐๐๐ผ ๐๐ผ๐๐๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ"
Bahi wamekiwasha sio poa๐ฅโ
#KaziNaUtu
#CHAGUASAMIA
Read more
๐จ The Benjamin Mkapa Stadium in Dar es Salaam is filled to the rafters!
Itโs Simba Day, and the Reds have shown up in full force to support their beloved team. โค๏ธ๐ฆ
#SimbaDay2025#NguvuMoja
Mgombea mwenza nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM Balozi Emmanuel Nchimbi akizungumza na wakazi wa Mlele kueleza miradi mbalimbali ya maendeleo kutoka kwenye Ilani itakayowanufaisha endapo Dkt. Samia Suluhu Hassan atapewa ridhaa ya kuongoza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wakazi wa Mlele wameahidi kupiga kura za ndiyo kwa Mgombea Urais ili aendelee kuongoza na kuwaletea maendeleo.
โ ๐ ๐๐๐๐ก๐๐๐๐ข ๐ก๐ ๐ ๐๐๐ก๐๐๐๐๐ข ๐ฌ๐๐๐๐ฌ๐ข๐๐๐ง๐ช๐ ๐ก๐ ๐ฅ๐๐๐ฆ ๐๐๐ง. ๐ฆ๐๐ ๐๐ ๐ฌ๐๐ ๐๐๐๐ก๐๐ ๐ ๐ฉ๐จ๐ง๐ข ๐ญ๐๐๐๐ ๐ช๐ ๐๐๐ ๐๐ช๐ ๐ช๐๐ก๐๐ก๐๐๐
Mratibu wa Kampeni za Kitaifa za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Dkt. Bashiru Ali, amewaeleza Watanzania kuwa Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป ambaye ni Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, ataibuka na ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu kutokana na wingi mkubwa wa Vijana na wanawake wanaojitokeza kwenye kampeni za Chama hicho.
Dkt. Bashiru ameyasema hayo leo tarehe 10 Septemba 2025 akiwa kwenye mkutano wa kampeni za Urais wilayani Nzega Mjini Mkoani Tabora.
Amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka minne ya Dkt. Samia, Jumuiya za Chama hicho zimeimarika pakubwa sana na kuimarika huko kumeleta matokeo chanya katika kuongeza idadi ya wanachama wa CCM.
"Tumekuwa na kiwango cha chini sana cha wapigakura kwa miaka mingi, hata mwaka 2020, lakini sasa hivi nina uhakika kwa kuwa akinamama wamehamasika na Vijana wamehamasika nadhani kuna uwezekano mkubwa wa kufikia idadi ya zaidi ya asilimia 90 ya wapigakura mwaka huu."
"Kwa takwimu za nchi yetu, Vijana ndio wengi na akinamama ndio wengi nchi hii lakini la pili linalosababisha watu kutotoka kupiga kura ni mikakati ya kutisha watu kwa maneno au vitendo, nina hakika serikali ya CCM ina wajibu wa kulinda kila aliyejiandikisha kwenda kupiga kura kwa amani na kusherehekea ushindi kwa amani na kwa maandalizi."
Aidha, Dkt. Basihiru amebainisha kuwa "..Mwitikio na mafanikio makubwa yaliyopatikana kwenye utekelezaji wa shughuli za maendeleo na kwa mvuto wa mgombea wetu tutashinda kwa kura nyingi na waliojiandikisha wengi watapigakura."
"Kampeni ni fursa muhimu sana hasa katika nchi ya amani kama Tanzania, ni fursa ya kuibua hisia za watu kuhusu hali ya maisha yao, hali ya uendeshaji wa nchi yao. Ni fursa ya kuwajengea wananchi matumaini na matarajio, ni fursa pia kwa baadhi ya wengine kuwa na wasiwasi lakini katika nchi ambayo haina misingi imara hii ni fursa ya vurugu na mipasuko ya kijamii."
"Mimi sina mashaka na nchi yetu misingi yake, nafasi ya uchaguzi kutuvuruga na kutupasua bado haijawepo na kwasababu bado haijawepo tusibweteke."
Rais Dkt. Samia amekamilisha mikutano yake miwili ya kwanza ndani ya mkoa wa Tabora kwa wananchi wa Igunga na Nzega Mjini na anatarajiwa kuwepo Tabora kwa muda wa siku 3.
#KaziNaUtu
#CHAGUASAMIA
#CHAGUACCM
๐ Busonzo
โช๏ธDKT. BITEKO AHIMIZA KURA ZA KUTOSHA BUSONZO
โช๏ธWananchi wa Busonzo wanufaika na miradi ya uhakika ya umeme, maji, elimu
โช๏ธCCM yaahidi maendeleo Busonzo
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Bukombe, Ndugu Doto Mashaka Biteko amewahimiza wananchi wa Kata ya Busonzo wilayani Bukombe mkoani Geita kujitokeza kwa wingi na kuwapigia kura wagombea wa CCM ili kukipatia chama hicho ushindi wa kishindo katika Uchaguzi Mkuu ujao Oktoba 29, mwaka huu.
Dkt. Biteko amesema hayo Septemba 9, 2025 wakati akiendelea na kampeni katika Kata ya Busonzo wilayani Bukombe mkoani humo.
Amesema eneo la Idoselo katika Kata ya Busonzo lilikuwa na changamoto kadhaa ikiwemo barabara na shule.
Kufuatia hali hiyo, Rais Samia alielekeza wananchi wa eneo hilo wachongewe barabara, wajengewe shule na hospitali.
โ Hapa Idoselo tumejenga Kituo Kikubwa cha Kuzalisha umeme megawati 5 ili wananchi waweze kupata umeme, tunataka kuongeza upatikanaji wa maji na baada ya uchaguzi tutapanua chanzo cha maji ili kuhakikisha kunakuwa na maji ya uhakika,โ amesema Dkt. Biteko.
Ametaja vipaumbele vya CCM ni kujenga shule nyingine ya sekondari Idoselo ili kupunguza adha ya wanafunzi kwenda kusoma Busonzo.
Aidha, amewahimizi wananchi na wajumbe wa CCM kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29 mwaka huu na kumchagua mgombea wa Urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ambapo pia amewaomba wananchi wamchague kwa nafasi ya Ubunge wa Bukombe pamoja na mgombea Udiwani Merikiori wa Busonzo.
Akimnadi mgombea udiwani wa Kata ya Busonzo, amesema mgombea huyo ni mchapakazi na anayetaka maendeleo hivyo, wananchi wamchague ifikapo Oktoba 29 huku akisisitiza kuwa ili CCM ishinde kwa kishindo wananchi wajitokeze kwa wingi kupiga kura.
Naye, Mgombea wa nafasi ya Udiwani Kata ya Busonzo, John Merikiori amesema ni wajibu wa wananchi kupiga kura na kuchagua wagombea wa CCM ambao wakipata dhamana ya uongozi watahakikisha wanaleta maendeleo kwa wananchi.
๐ธ:O/Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
๐ Nsimbo
โช๏ธDKT.NCHIMBI ASIMAMA KUWASALIMIA WANANCHI WA NSIMBO AKIELEKEA WILAYA YA MLELE -KATAVI
MGOMBEA Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akiwasalimia Wanachi wa kata ya Katumba,Halmashauri ya ya Nsimbo leo Jumatano Septemba 10,2025, wakati akielekea Wilaya ya Mlele katika Jimbo la Kavuu, kuhutubia Wananchi kwenye mkutano wake mkubwa wa hadhara wa Kampeni mkoani Katavi.
Baada ya kuwasalimia Wananchi wa Nsimbo, Dkt. Nchimbi aliwanadi Wagombea Ubunge wa majimbo mbalimbali ya Mkoa huo,akiwemo mgombea Ubunge wa jimbo la Nsimbo,Anna Richard Lupembe pamoja na Madiwani.
Dkt. Nchimbi ameendelea kunadi Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu 2025-2030,ambayo kimsingi imelenga kwenda kuboresha maisha ya wananchi na ustawi wa Maendeleo katika miaka mitano ijayo.
Aidha amekuwa akitumia nafasi hiyo kuwaomba wananchi kumchagua mgombea Urais wa CCM,Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan, Wabunge na Madiwani wa Chama hicho kwa kura za kishindo ifikapo Oktoba 29,2025
๐ธ:CCM Makao Makuu
๐๐ฐ๐๐ง๐ฃ๐ ๐ฐ๐ ๐๐๐๐ ๐ ๐ฐ๐ ๐๐ข๐ฌ๐๐ฌ๐ ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ญ๐๐ฅ๐ข๐ข ๐๐ฒ๐๐ซ๐๐ซ๐
Uwanja wa Ndege wa kisasa unaotarajiwa kukamilika Oktoba mwaka huu, ni miongoni mwa uwekezaji wa kimageuzi unaoendelea kufanywa na Serikali kuifungua sekta adhimu ya utalii.
Akishuhudia kuendelea kukamilika kwa Uwanja wa Ndege wa kisasa unaojengwa kwenye eneo la Mtemere kwenye Hifadhi ya Taifa ya Nyerere, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, amesema uwanja huo utafungua โSerengetiโ mpya hapa nchini ambayo ni Hifadhi ya Nyerere.
โHifadhi hii ipo dakika 35 kwa ndege kutoka Dar lakini inaunganishwa na Barabara kadhaa ikiwemo ile ya Kisarawe-kutokea Dar es Salaam; Bigwa-Kisaki kama mtu anatokea Morogoro lakini pia inayopitiwa na treni ya Tazara kwa stesheni ya Vuga.
โUwanja huu utakaokuwa na urefu wa km 1.8 kwa ile barabara ya ndege pekee lakini na barabara nyingine za akiba pia utakuwa na chumba cha kisasa cha kuongozea ndege, majengo ya kuondoka na kuwasili abiri yenye huduma za kisasa, ofisi na maegesho ya magari,โ alisema Dkt. Abbasi akiwahimiza wakandarasi kuhakikisha mwezi ujao tabaka gumu la kwenye njia ya kuruka na kutua ndege kukamilika.
Utalii umeongezeka kwa kiasi kikubwa katika Hifadhi ya Nyerere kutoka wastani wa watalii 15,000 tu kwa mwaka 2021 hadi watalii 47,000 mwaka jana 2024.
Ikishinda Tuzo ya Eneo Lenye Mwonekano Munawari Afrika (Africaโs Leading Scenic National Park 2025) wakati wa Tuto za Utalii za Dunia-Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi, Hifadhi ya Nyerere inazidi kufahamika kwa mandhari zake adhimu, makumi ya wanyama, mito kama Mto Rufiji na sehemu kubwa chini ya Mto ikitengeneza maziwa mengi yanayotokana na mienendo ya kijiografia lakini eneo la juu likiwa na bwawa kubwa lenye upana wa km 30 na urefu wa km 100; sehemu ya Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Mwalimu Nyerere.
โWANAWAKE NA VIJANA WATAMPA DKT. SAMIA KURA ZA KISHINDO,โ-DKT. BASHIRU
Mratibu wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM Kanda ya Kati na Katibu Mkuu mstaafu wa Chama hicho tawala Dkt. Bashiru Ali, amesema Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama hicho ataibuka na ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kutokana na wingi mkubwa wa Vijana na wanawake wanaojitokeza kwenye kampeni za Chama hicho.
Bashiru ameyasema hayo leo Jumatano Septemba 10, 2025 Nzega Mjini Mkoani Tabora kwenye siku ya kwanza ya kampeni za Dkt. Samia Mkoani humo, akisema katika kipindi cha miaka minne ya Dkt. Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, Jumuiya za Chama hicho zimeimarika pakubwa, suala ambalo amesema Jumuiya hizo sio kama zilivyokuwa wakati wa Uongozi wake.
"Tumekuwa na kiwango cha chini sana cha wapigakura, miaka mingi wala sio mwaka huu wala 2020 lakini sasa hivi nina uhakika kwa kuwa akinamama wamehamasika na Vijana wamehamasika nadhani kuna uwezekano mkubwa wa kufikia idadi ya zaidi ya asilimia 90 ya wapigakura mwaka huu. Kwa takwimu za nchi yetu, Vijana ndio wengi na akinamama ndio wengi nchi hii lakini la pili linalosababisha watu kutotoka kupiga kura ni mikakati ya kutisha watu kwa maneno au vitendo, nina hakika serikali ya CCM ina wajibu wa kulinda kila aliyejiandikisha kwenda kupiga kura kwa amani na kusherehekea ushindi kwa amani na kwa maandalizi.
...Mwitikio na mafanikio makubwa yaliyopatikana kwenye utekelezaji wa shughuli za maendeleo na kwa mvuto wa mgombea wetu tutashinda kwa kura nyingi na waliojiandikisha wengi watapigakura." Amesema Dkt. Bashiru.
Dkt. Bashiru ameongeza kusema kuwa "Kampeni ni fursa muhimu sana hasa katika nchi ya amani kama Tanzania, ni fursa ya kuibua hisia za watu kuhusu hali ya maisha yao, hali ya uendeshaji wa nchi yao. Ni fursa ya kuwajengea wananchi matumaini na matarajio, ni fursa pia kwa baadhi ya wengine kuwa na wasiwasi lakini katika nchi ambayo haina misingi imara hii ni fursa ya vurugu na mipasuko ya kijamii. Mimi sina mashaka na nchi yetu misingi yake, nafasi ya uchaguzi kutuvuruga na kutupasua bado haijawepo na kwasababu bado haijawepo tusibweteke."
Kesho Dkt. Samia atakuwa na mikutano ya hadhara Uyui, Urambo na Kaliua kabla ya Septemba 12, 2025 kuhitimisha mikutano yake Mkoani humo kwenye Viwanja vya Nanenane Manispaa ya Tabora.
๐ Iramba, Singida
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Iramba mkoani Singida tarehe 10 Septemba, 2025.
๐ธ:IKULU
Leo tumeanza kampeni katika Mkoa wa Tabora, baada ya kumaliza Mkoa wa Singida. Tabora ni nyumbani. Ninawashukuru sana Igunga na Nzega Mjini kwa upendo, hamasa na mapokezi mazuri.