Petrol imepanda +295/L na Diesel +442/L, lakini watu wengi hawajaona upande mwingine wa story.
Service levy nayo imepandishwa
• Petrol +10.29/L
• Diesel +10.62/L
Wakati huo huo margin imebaki ile ile.
Hii maana yake gross profit ya muuza mafuta inazidi kushuka huku gharama za uendeshaji zikikimbia juu.
Mwisho wa siku biashara inabaki high turnover, low profitability.
Huku Dunian tena kuna mambo , binti alikua anakaa na boyfriend wake so boyfriend akacheat, binti akarudi kwa mama ake akamuelezea jinsi ilivyokua, binti akamuomba mama ake akamchukulie nguo zake mama kakubali kafika kwa boyfriend wa bibti ake jamaa kamkaribisha na kampa bia👇🏻
Kama wewe ni night person!
Namaanisha unapenda kutoka usiku au asubuhi sana
Na recommend uchukue hii kwa ajili ya usalama
45000 tu
Unaipata in 10 days ✅
Karibuni
0745221288