Optimistic|Certified Introvert| Lover ❤️|💒| Your Favourite Chef🍲| "I cannot choose but adhere to the word of God, which has possession of my conscience".
Jamani nauza vya kiswahili kesho lunch kwangu🌚
Wali wa samaki chuku chuku na nazi + kukaanga
Wali wa kuku chuku chuku na nazi + kukaanga
Maharage ya nazi + veggies + pilipili flani ambayo ni illegal jinsi ilivyo amazing 😂
Sahani ni Elf 18 tu.
DM kuweka oda yako.